Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #61
Kwa nini mkuu?Nyie ndio mnao sababisha tukitongoza tukataliwe humu ndani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini mkuu?Nyie ndio mnao sababisha tukitongoza tukataliwe humu ndani.
Hujambo mrembo 😀 😀[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Kuna mlimbwende mmoja humu jukwaani, tulikuwa tunabadilisha nae mawazo ya hapa na pale.
Baada ya kutumia silaha zake za kivita, ameweza kuniingiza majaribuni na hatimaye kumfanya shetani ashinde.
Sasa mlimbwende ameniibukia hapa nyumbani, kusema kweli ni bonge la jimama, na nikimtizama machoni nazidi kushawishika zaidi; natamani muda uende ili sarakasi zianze.
Nimemwambia apike chakula ili tuweze kula anakataa, anasema sio kazi iliyomleta; anataka niagize mdudu kilo 3, ndizi za kukaanga na pombe kali.
Kutokana na jua la utosi kuwa kali, naona ananiongezea gharama tu; sasa mimi nataka nimfukuze.
Wakuu mnasemaje.
Chai tayari mkuu, vipi ulimfukuza mrembo ? Yaani uiache mbususu wewe sidahani😀Niko salama kabisa, vipi umepata chai?
Tatizo moyo haueleweki mkuuMoyo wako unasemaje juu ya uamzi unaotaka kuchukua maana moyo ndo msema kweli sisi ushauri hautakutosha mkuu
Full burudani
Sogea karibu nikujulishe kilichotokea 😀😀Chai tayari mkuu, vipi ulimfukuza mrembo ? Yaani uiache mbususu wewe sidahani😀
Ni bora ata angesema kilo 10 za makande, yeye anachagua vitu vizuri tuKilo Tatu watu Wawili? Yuko vizuri kwenye Msosi.
Nimeshangaa pia tena inavokinai haraka 2 people 3 kgs 🙌Kilo Tatu watu Wawili? Yuko vizuri kwenye Msosi.
Acha dharau kwa mboga tukufu kuita mdudu, huyo ni Kaka yake kuku aka mbuzi wa Vatican.Kuna mlimbwende mmoja humu jukwaani, tulikuwa tunabadilisha nae mawazo ya hapa na pale.
Baada ya kutumia silaha zake za kivita, ameweza kuniingiza majaribuni na hatimaye kumfanya shetani ashinde.
Sasa mlimbwende ameniibukia hapa nyumbani, kusema kweli ni bonge la jimama, na nikimtizama machoni nazidi kushawishika zaidi; natamani muda uende ili sarakasi zianze.
Nimemwambia apike chakula ili tuweze kula anakataa, anasema sio kazi iliyomleta; anataka niagize mdudu kilo 3, ndizi za kukaanga na pombe kali.
Kutokana na jua la utosi kuwa kali, naona ananiongezea gharama tu; sasa mimi nataka nimfukuze.
Wakuu mnasemaje.
Chai hii 😂wee sema kweli😋
JF Mada za Ngono ngono.
Ukisema usikilize mziki ni matusi tu.
Ukifungulia FM Redio zetu kutwa nzima unaskia Yanga/Simba.
Magazeti ni Uchawa wa 100%.
Ukisema Ukae kupiga na wana stori mada zoote ni kujadili warembo na machaka ya malaya.
Mods jaribuni kukaa na kutafakari hatima ya JF