Huyu mrembo nimfukuze au nisimfukuze?

Acha kuangaika oa kijana.

Ukiwa na mke unapata ukitana hata kila siku tena bure.
Kuoa ni gharama, kukihudumia kiumbe kinachopumua si kazi ndogo; asubuhi, mchana, usiku, mavazi, matibabu, saluni; bado nipo nipo kwanza πŸ˜€
 
Kuoa ni gharama, kukihudumia kiumbe kinachopumua si kazi ndogo; asubuhi, mchana, usiku, mavazi, matibabu, saluni; bado nipo nipo kwanza πŸ˜€
Acha uoga kijana.

Kuwa mwanaume maana yake ni kuwa kiongozi.

Wewe na ujanja wako unashinda kupambana kupata pesa yakutunza familia?

Familia ni chanzo cha furaha ya kweli na kufahamu uwajibikaji.
 
Mkuu tafuta mama yeyo wakueleweka weka ndani.

Utanishukuru baadae.

Hawa wa one night stand ni hatari na utapoteza pesa tu.
Wanafilisi sana, kuja kushtuka kichwa chote kimejaa mvi huna pa kulala
 
Acha uoga kijana.

Kuwa mwanaume maana yake ni kuwa kiongozi.

Wewe na ujanja wako unashinda kupambana kupata pesa yakutunza familia?

Familia ni chanzo cha furaha ya kweli na kufahamu uwajibikaji.
Wazo zuri sana hili, nitalifanyia kazi mwakani
 
Ukiichagua zinaa hakika matokeo yake ni yatakua yale yenye kuangamiza.
Good luck
 
Wazo zuri sana hili, nitalifanyia kazi mwakani
Nakutakia kheri ndugu Equation x.

Kama nilivyosema awali, familia ni chanzo cha furaha na upendo wa kweli.

Wewe tafuta mwanadada anayejishughulisha, wakawaida tu lakini na yeye kweli anataka familia utashangaa jinsi mambo yatakavyo nyooka.

The man who finds a wife finds a treasure and he receives favor from the LORD.
 
wacha kurembA mwandiko weweee..
Raha ya kondoo ni mkia na mafuta.
Kitimoto kilo tatu kwan sh ngapi? Weka namba tukuchangie
 
Nakutakia kheri ndugu Equation x.

Kama nilivyosema awali, familia ni chanzo cha furaha na upendo wa kweli...
Kweli mkuu, ingawa ndoa na zenyewe zina changamoto kama tunazoziona kila siku hapa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…