Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
-
- #41
Na ukiweza kuvishinda hivyo vishawishi, mambo mengi yatasonga mbele.Kuna age ukiifikia ni kumuomba tu Mungu akusimamie maana vichocheo vya uzinzi vinazalishwa kwa kasi ya ajabu.
Lord have mercy upon us
Hakika mkuu.Na ukiweza kuvishinda hivyo vishawishi, mambo mengi yatasonga mbele.
Huo ni ulemavu, kumridhisha huyo labda uwe na saizi ya mguuπView attachment 2771045wacha kurembA mwandiko weweee..
Raha ya kondoo ni mkia na mafuta.
Kitimoto kilo tatu kwan sh ngapi? Weka namba tukuchangie
Muhimu sana hii, asije akaghairi πMkuu mtafune hata mbili tatu za afya ndo uagize
Hahahaaaaa TEMBO KASHINDWA NA MKONGAKuna mlimbwende mmoja humu jukwaani, tulikuwa tunabadilisha nae mawazo ya hapa na pale.
Baada ya kutumia silaa zake za kivita, ameweza kuniingiza majaribuni na hatimaye kumfanya shetani ashinde...
Ndoa nyingi zinavunjika kwasabau ya masuala ya pesa.Kweli mkuu, ingawa ndoa na zenyewe zina changamoto kama tunazoziona kila siku hapa duniani
Kweli mkuu, muhimu uzima tuHakika mkuu.
Acha tuendelee kupambana na majaribu.
Hiyo namba 1 ndio mtihaniNdoa nyingi zinavunjika kwasabau ya masuala ya pesa.
Mwanaume unatakiwa uwe na vitu hivi
1. Mali.
Itakusaidia kutatua matatizo yako ya pesa kwahiyo wakati unawazia kuwa na familia hakikisha kweli upo tayari kutafuta mali na uzipate kweli.
2. Tunza afya yako
3. Jifunze kuwa kiongozi na mwanamke hatakukimbia.
Shida ni ule uzi wa Rikiboy mkuuπTatizo unanikimbia sana ππ
Ndiyo ni kazi lakini inawezekana.Hiyo namba 1 ndio mtihani
Usiniogope, mi sina madhara kabisa mkuu, we njoo tu tuongee π πShida ni ule uzi wa Rikiboy mkuuπ
Muhimu ni kuwa na malengo tu, na kuyafanyia kaziNdiyo ni kazi lakini inawezekana.
Tutumie mfano upo kwenye early 20s
1. Jifunze ujuzi fulani ambao utakupatia kazi ili uwe na kipato.
2. Tumia pesa unayoipata kwenye kazi/ajira yako kununu kiwanja/viwanja halafu jenga boma lako. Hadi hapa umemaliza mtihani wa kwanza, upo na kwako hata kama ni chumba kimoja.
3. Ukifanikisha namba 2 maana yake wewe ni komando sasa nini kingine kitakushinda? Hauhitaji kuwa mali kuzidi watu wote, la hasha, uwe tu unamiliki assets lakini pia upo na kazi/ajira inayokupatia pesa ya msosi hapo home lakini pia yakulipia school fees za watoto kama ukiwa nao.
Morning mkuu EquationUsiniogope, mi sina madhara kabisa mkuu, we njoo tu tuongee π π
Niko salama kabisa, vipi umepata chai?Morning mkuu Equation