Huyu mrembo nimfukuze au nisimfukuze?


Mfukuze na dudu washa
 
Moyo wako unasemaje juu ya uamzi unaotaka kuchukua maana moyo ndo msema kweli sisi ushauri hautakutosha mkuu
 
Hakuna kuoa full stop acha kupenda wanawake over mm sioiiiii wala sitak penda mtoto wa mtu wataniua hawa kuku
 
Kwaiyo j forum sku iz imekua tinder inakutanisha watu
Wacha ubahiri agiza mdudu na pombe kali mfurahie maisha dunian tunapita
 
Acha dharau kwa mboga tukufu kuita mdudu, huyo ni Kaka yake kuku aka mbuzi wa Vatican.
 
JF Mada za Ngono ngono.
Ukisema usikilize mziki ni matusi tu.
Ukifungulia FM Redio zetu kutwa nzima unaskia Yanga/Simba.
Magazeti ni Uchawa wa 100%.
Ukisema Ukae kupiga na wana stori mada zoote ni kujadili warembo na machaka ya malaya.
Mods jaribuni kukaa na kutafakari hatima ya JF
 
Ni kweli ulimwengu umebadilika, na ulimwengu unaendeshwa kibiashara (mauzo), kusimamia jukwaa hili kunahitajika pesa katika kuwawezesha timu nzima iweze kufanya kazi kwa ufanisi na weledi, kulipia mishahara, gharama za maji, umeme, mafuta, na ulipaji mbali mbali wa vibali n.k

Ni vizuri tuje na wazo, sisi washiriki tuliojisajili humu, tunawasaidiaje au tunawachangia kiasi gani katika kutimiza hayo.

Unapendelea tuanze kutoa kiasi gani?​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…