Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
-
- #41
Ukisoma kitabu cha jf 4:23-27, kinasema, ''wote mliomo humu pendaneni na mpeane vile vinavyowezekana kupeana, kunyimana ni dhambi''Dah unajipakulia minyama tu, lakini jua hayo yote ni UBATILI mtupu!
Mkuu, ebu tupe uthibitisho kidogoJamii forum hakuna warembo.kuna mashangingi
Tunaishi mara moja, jembe umepewa la kulimia shamba, na sio pambo.Kabisa 😅
Bro kwenye masaa 24 ya siku 8 natumia online Sema tu mda mwingi napita kimya kimya.Nitakupigia nitakupigiaaaaa bro nipo pabaya.......
Halafu bro mbona umeadimika sana umepata jiko nini?
Khantwe naona umefikiwa. Kila mtu atafikiwa kwa wakati wake. Ni suala la muda tu! 😂😂😂😂Wewe mwenye jina linaloanza na K, unautesa moyo wangu.
Hakikisha mwaka huu usikupite
Hahahhhhhhhh umekuwa mwinjilist mkuu.Ukisoma kitabu cha jf 4:23-27, kinasema, ''wote mliomo humu pendaneni na mpeane vile vinavyowezekana kupeana, kunyimana ni dhambi''
Yeah, usiruhusu jembe lako lotafunwe na mchwa, ukifa, likiwa hujalitumia sana.Tunaishi mara moja, jembe umepewa la kulimia shamba, na sio pambo.
Kwa zile swaga, sidhani kama ni vidumeUkute anayekusumbua akili ni kidume mwenzio ila wewe hujui tu
Tukumbuke pia kujihami na mvua za elnino[QUOTE="Equation x, post: 57115726,] Wewe mwenye jina linaloanza na K, unautesa moyo wangu.
Hakikisha mwaka huu usikupite.[/JUSTIFY]
Mambo ya mwanangu tena, unataka kula mahari nini?
Tuwarudishe kundini walio poteaHahahhhhhhhh umekuwa mwinjilist mkuu.
Mkuu, nimemwagiza mhudumu akuletee balimi kumi, zinatosha?Yule mkeo aliyekua anakupikia ugali na unamsifia humu,mmeachana au unataka kumcheat tu?
VAR
Nipo hapa nimekunja zangu nne, nakula ugali niliopikiwa na mke wangu.
Mlio kosea kuoa, sasa hivi mnakula vyakula vilivyopikwa na dada wa kazi.
Wanao kataa ndoa, sasa hivi wanashindia mahindi ya kuchoma, vyakula vya magengeni, na kujipikilisha.
Kweli, ndoa ni tamu.
- Equation x
- Replies: 148
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
Amen...Tuwarudishe kundini walio potea
Jumapili hii unapiga kinywaji gani?Amen...
Maji tu mkuu!Jumapili hii unapiga kinywaji gani?
Achana na hayo, tafuta yenye rangi ya goldMaji tu mkuu!
Hayo ni ubatili mtupu...Achana na hayo, tafuta yenye rangi ya gold