Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
-
- #61
Yaani ukitaka uwe na akili kubwa piga hayo maji.Hayo ni ubatili mtupu...
Hahahhhhh mbona naonaga wameji kojolea njiani wamelala?Yaani ukitaka uwe na akili kubwa piga hayo maji.
Hao wanakunywa zile za bei ya chiniHahahhhhh mbona naonaga wameji kojolea njiani wamelala?
Hahahhhhhh duh, unajaza chemicals tu mkuu...Hao wanakunywa zile za bei ya chini
Nipo chupa ya ishirini sasa, nenda hapo kwa mangi mwambie akupe chupa tanoHahahhhhhh duh, unajaza chemicals tu mkuu...
Niko maeneo ya Top Life hapa broh!Sahivi uko wapi?
Bro pokea simu pokea simu nakupigiaNiko maeneo ya Top Life hapa broh!
Nakusikia broh!!......hallo!....hallo!!....broh!, haunisikii ? Mbona me nakusikia broh!Bro pokea simu pokea simu nakupigia
Weee. ApiaJamii forum hakuna warembo.kuna mashangingi
ππBro pokea simu pokea simu nakupigia
Halooo bro sikusikii unakatika.....πΉNakusikia broh!!......hallo!....hallo!!....broh!, haunisikii ? Mbona me nakusikia broh!
Ni network inakatikakatika broh!Halooo bro sikusikii unakatika.....πΉ
Acha tuwapende tu, maisha mafupi hayaEquation x mzee watotoz
Itakuwa mizinga yako ni hatariHalooo bro sikusikii unakatika.....πΉ
Mizinga 21 broItakuwa mizinga yako ni hatari
NAshindwa khwaherewaSijui umenifanya nini:-
Nikilala namuota yeye tu. Nikiamka namuwaza yeye tu. Nikienda kuoga natamani nioge naye tu. Nikiwa jikoni, natamani awepo yeye jikoni na kanga moja kiunoni. Nikiwa sebuleni, natamani awepo tukimbizane kimbizane. Nikiwa porini, natamani na yeye awepo tuwinde naye ndege. Tukiwa ndani usiku, natamani kuwepo na mwanga mdogo huku tukisikiliza mziki laini na waini kwa pembeni huku midomo yetu ikicheza cheza.Wewe mwenye jina linaloanza na K, unautesa moyo wangu.
Hakikisha mwaka huu usikupite.
ππππJamii iache utaratibu wa kuhusianisha heshima ya wanaume na mambo ya ngono. Mtu akitongoza binti mdogo asiambiwe kwamba hajiheshimu au kijana mdogo akinyandua jimama asiambiwe hajiheshimu....nyege mbaya nyie.
Bro tupo wengi sana wenye majina yanayoanza na K ikiwa ni pamoja na wewe mwenyewe