Huyu msanii Appy ni moja ya vocalist wakali sana wa kike, ni vile tu hana platform ya kumtrendisha

Huyu msanii Appy ni moja ya vocalist wakali sana wa kike, ni vile tu hana platform ya kumtrendisha

Naamini zuchu pengine hayupo vizuri ni Sawa ila haki yake apewe...mtaani huku si watu wazima wala watoto wote wanasema "honey" si jambo dogo... hata ile kwikwikwi alisumbua sanaaaaaa. Na aendeleze tuu utoto nchi hii utoto unalipa sana mr Nice by that time alikuwa milionea kwa kuendekeza utoto
 
Hutaki kuambiwa ukweli?
Huo sio ukweli labda kama haupendi Aina ya muziki anayofanya but sio "wakaida" ni uongo au mtazamo wako ni Sawa na Zakazakazi aliposema Mayele ni "wakaida" Ila baadae aliomba radhi Kwa mabalaa aliyokuja kufanya...
Kwa kifupi huyu manzi n mkali tena balaa.
 
Kinachokusumbua ni ushamba na lack of exposure...wapo mamanzi wengi kinoma wanaimba kinoma kuliko hata Wewe.
Wewe kwa mziki wako huu Bado sana.
Pull up your socks
 
Kinachokusumbua ni ushamba na lack of exposure...wapo mamanzi wengi kinoma wanaimba kinoma kuliko hata Wewe.
Wewe kwa mziki wako huu Bado sana.
Pull up your socks
Kwanza niombe radhi mkuu Mimi ni me huyo msanii ni ke... Anyway nimekubali matusi yako Mimi kama shabiki
 
Yuko vizuri ,ngoma yake ya watu feki nimeipenda sana
 
ana sauti nzuri ila sio mtunzi mzuri wa mashairi,namfananisha na barnaba classic ana sauti nzuri ila sio mtunzi mzuri
 
Back
Top Bottom