Hutaki kuambiwa ukweli?Acha roho mbaya
Huo sio ukweli labda kama haupendi Aina ya muziki anayofanya but sio "wakaida" ni uongo au mtazamo wako ni Sawa na Zakazakazi aliposema Mayele ni "wakaida" Ila baadae aliomba radhi Kwa mabalaa aliyokuja kufanya...Hutaki kuambiwa ukweli?
Kinachokusumbua ni ushamba na lack of exposure...wapo mamanzi wengi kinoma wanaimba kinoma kuliko hata Wewe.Huo sio ukweli labda kama haupendi Aina ya muziki anayofanya but sio "wakaida" ni uongo au mtazamo wako ni Sawa na Zakazakazi aliposema Mayele ni "wakaida" Ila baadae aliomba radhi Kwa mabalaa aliyokuja kufanya...
Kwa kifupi huyu manzi n mkali tena balaa.
Kwanza niombe radhi mkuu Mimi ni me huyo msanii ni ke... Anyway nimekubali matusi yako Mimi kama shabikiKinachokusumbua ni ushamba na lack of exposure...wapo mamanzi wengi kinoma wanaimba kinoma kuliko hata Wewe.
Wewe kwa mziki wako huu Bado sana.
Pull up your socks