[emoji1] [emoji1] [emoji1] kabisaMleta mada jipige ngumi tatu za kichwa fasta kwa kosa la kuchelewa kumjua huyu mama.
Sauti kama binti wa miaka 25 kumbe mkongwe. Noma sana yule bi mkubwa!
[emoji1] [emoji1] aiseeDuuh...! Nimezicheck mkuu,ila kenyewe hakavutii kabisa,utafikiri 1. Tupaja fimbo,Hakana hata chura moja kwa mbali hivi hata ya kudanganyishia,hata kama ya Vanessa hivi
Ni wakitambo mno..ana videos tatu zina views Bilioni,Challenger,Greatest na Cheap ThrillsYaani wewe ndo unamjua leo SIA??..not a bad thing though
Yaani wewe ndo unamjua leo SIA??..not a bad thing though
Sia ni motoooNilikuwa natazama animation flani ya muda inaitwa Bellarina sasa kuna wimbo ukapigwa unaitwa suitcase ukanivutia nikataka kujua kauimba nani.
Ndipo nikaja kugundua ni mwanamama mzaliwa wa australia ambaye anaishi US anaitwa Sia.
Nikatafta nyimbo zake nyingine youtube nikakutana masong makali kama never give up, unstoppable, na mengine mengi kwa wale wapenda nyimbo strong za ballard huyu mama hatari na nyimbo zake full maujumbe.
Ndiye alishiriki kuandika diamond ya rihanna, kaandika nyimbo na celline dion, push T na nyingne nyingi.
It's my favorite....Till dawn ni noma yupo na Zayn
SIA ana sauti kama RIRI hana swagg zozote kama PINK!!..We jamaa hakika ni mshamba sanaa....
Since 2011 on JF hujawahi mjua SIA.
Inawezekana hata humjui PINK wewe...maana mimi huwa nawafanisha hawa swagger zao
Katika muziki wa EDM (Electro, Dance, House, Chill, Funk, Trap 'Original' sio hii ya wavuta Bangi', na Deep) Producer/DJ ndiye anahusika kuanza kuchakata, kutengeneza na kutafuta muimbaji 'Singer' atie sauti na nyimbo hiyo huwa na umiliki wa wake (Kulingana na mkataba pia makubaliano).Kwan sia si yule mwambamba hivi, huyo david guita si producer tuu?
Ni kweli kabisa, ukisikiliza Guts over fear ameshirikishwa na Eminem ndio utajua.Yes,Rihanna anakopi na kupaste madini yote toka KWA sia,ndio maana ukimsikia km rihanna flani HV one among best ghost writer
😒[emoji7]
Hatari huyo kiumbe..na kuna mwenzie anaitwa PINK nae ni kisanga na nusu
Pink ni wamuda mrefu sana katika tasnia....Yule ameshindikana...
Napenda ngoma yake 1 hivi inaitwa big girl dont cry
We vp? Lione kwanza![emoji19]
Pink ni wamuda mrefu sana katika tasnia....Yule ameshindikana...
Napenda ngoma yake 1 hivi inaitwa big girl dont cry
Nilikuwaga simjui. Mwaka 2016 nilikuta wimbo wake umetumika kama sound track kwenye game moja hivi. Ikabidi nimtafute nikakuta ana vitu vingi tu vikali.Huyo demu naè yupo vizuri sana..kuna wimbo ule wa fire unapendwa sana club
Ndio ndio nimegundua watu wengi hawafuatilii mziki..wamekariri kina beyonce tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kuna vichwa vinaimba balaa
Naam nikweli usemacho..... na hao ndio mashabiki maandazi....vichwa vyai vinawaza u-team tu...... sasa watu kama hao ukiwaeleza habari za kina cynd luper..diana king. Sade.lauryn hill vannesa paradise .kaoma .Tyna tana..hawawezi kukuelewa