Huyu msanii Sia ni hatari

Huyu msanii Sia ni hatari

Mleta mada jipige ngumi tatu za kichwa fasta kwa kosa la kuchelewa kumjua huyu mama.
Sauti kama binti wa miaka 25 kumbe mkongwe. Noma sana yule bi mkubwa!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kabisa
 
Duuh...! Nimezicheck mkuu,ila kenyewe hakavutii kabisa,utafikiri 1. Tupaja fimbo,Hakana hata chura moja kwa mbali hivi hata ya kudanganyishia,hata kama ya Vanessa hivi
[emoji1] [emoji1] aisee
 
Nilikuwa natazama animation flani ya muda inaitwa Bellarina sasa kuna wimbo ukapigwa unaitwa suitcase ukanivutia nikataka kujua kauimba nani.
Ndipo nikaja kugundua ni mwanamama mzaliwa wa australia ambaye anaishi US anaitwa Sia.
Nikatafta nyimbo zake nyingine youtube nikakutana masong makali kama never give up, unstoppable, na mengine mengi kwa wale wapenda nyimbo strong za ballard huyu mama hatari na nyimbo zake full maujumbe.
Ndiye alishiriki kuandika diamond ya rihanna, kaandika nyimbo na celline dion, push T na nyingne nyingi.
Sia ni motooo
 
Kwan sia si yule mwambamba hivi, huyo david guita si producer tuu?
Katika muziki wa EDM (Electro, Dance, House, Chill, Funk, Trap 'Original' sio hii ya wavuta Bangi', na Deep) Producer/DJ ndiye anahusika kuanza kuchakata, kutengeneza na kutafuta muimbaji 'Singer' atie sauti na nyimbo hiyo huwa na umiliki wa wake (Kulingana na mkataba pia makubaliano).

EDM Musicians, Producers na Artists wamegawanyika katika makundi kadha wa kadha. Mfano wa EDM Artist ni Alan Walker 'Anao uwezo wa kufanya kitu chochote katika sanaa ya music na arts'. EDM Producers & DJ ni David Guetta, Robin Schulz, Phill Fülder, Dimitri Vegas & Luke Mike, Black Coffee 'Ndugu yetu wa SA', Basti M, Got Lucky na Armin van Buuren. To name a few....

EDM Musicians ni kama, Gianluca Vacchi, Willy William, Nicky Jones etc.

Kwa Africa notable EDM Musicians, Producers & DJ's ni RedOne, Uhuru f/ SA, Black Coffee f/ SA, R3hab na Nahreal f/ Tanzania.

Wenye asili ya East and Central Africa Ni watano tu ambao ni Nahreal, Mimi mwenyewe na Stunner Bitmex na Cuppa.
 
Yes,Rihanna anakopi na kupaste madini yote toka KWA sia,ndio maana ukimsikia km rihanna flani HV one among best ghost writer
Ni kweli kabisa, ukisikiliza Guts over fear ameshirikishwa na Eminem ndio utajua.
 
Ndio ndio nimegundua watu wengi hawafuatilii mziki..wamekariri kina beyonce tu[emoji23][emoji23][emoji23]

Ila kuna vichwa vinaimba balaa
Pink ni wamuda mrefu sana katika tasnia....Yule ameshindikana...

Napenda ngoma yake 1 hivi inaitwa big girl dont cry
 
Naam nikweli usemacho..... na hao ndio mashabiki maandazi....vichwa vyai vinawaza u-team tu...... sasa watu kama hao ukiwaeleza habari za kina cynd luper..diana king. Sade.lauryn hill vannesa paradise .kaoma .Tyna tana..hawawezi kukuelewa
Ndio ndio nimegundua watu wengi hawafuatilii mziki..wamekariri kina beyonce tu[emoji23][emoji23][emoji23]

Ila kuna vichwa vinaimba balaa
 
Wataona marue rue[emoji23][emoji23][emoji23]...mimi nilishangaa hata taylor swift hawamjui
Naam nikweli usemacho..... na hao ndio mashabiki maandazi....vichwa vyai vinawaza u-team tu...... sasa watu kama hao ukiwaeleza habari za kina cynd luper..diana king. Sade.lauryn hill vannesa paradise .kaoma .Tyna tana..hawawezi kukuelewa
 
Back
Top Bottom