mbutamaseko
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 743
- 1,071
Hii comment
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuyatambua haya majitu ni dalili kuu ya ww kuungana nao siku za mbeleni, mark the dateHuwa najiuliza madhara ya hawa watu akina Quest ukilinganisha na watu kama Chenge, Ngereja, Tibaijuka, labda ushoga unaambukizwa? Binafsi huwa naamini hivi: "uhuru wa mwenzangu unapoishia ndipo uhuru wangu unapoanzia, hivo kuna mstari mkubwa unaotenganisha maisha aliyochagua kuishi Quest na maisha niliyochagua kuishi mimi" sijawahi kuumizwa life style ya mtu yeyote hata wife!
Usipomsema Prof Tibaijuka huwezi kufanya mambo yako. Kutwa, kucha kumsema Mh Mbunge Prof Tibaijuka. Amejieleza sana bado ulidhiki.Huwa najiuliza madhara ya hawa watu akina Quest ukilinganisha na watu kama Chenge, Ngereja, Tibaijuka, labda ushoga unaambukizwa? Binafsi huwa naamini hivi: "uhuru wa mwenzangu unapoishia ndipo uhuru wangu unapoanzia, hivo kuna mstari mkubwa unaotenganisha maisha aliyochagua kuishi Quest na maisha niliyochagua kuishi mimi" sijawahi kuumizwa life style ya mtu yeyote hata wife!
Kumbe ni kada wa ccm
Madhara ya mimi kuwatambua au kutowatambua japo wewe "uliye na haki" umewahukumu na kuwaita "haya majitu" ni yapi mkuu?Kuyatambua haya majitu ni dalili kuu ya ww kuungana nao siku za mbeleni, mark the date
Sina chuki na huyo Mheshimiwa mkuu, hapa nilitaka tu kuonyesha mfano halisi wa vitu vyenye madhara kwetu: Ufisadi, omugonzibwa ma Anna alipokea pesa kidogo ya mboga, umeme ukapanda bei, huku kijijini nilipo huduma ya umeme ikashindwa kutufikia kwasababu ya mzigo wa madeni kwa TANESCO, wagonjwa waliokuwa ICU na vichanga wakafa kwasababu ya mgao wa umeme.....nashindwa kuendelea kuandika maana machozi yananitoka!Usipomsema Prof Tibaijuka huwezi kufanya mambo yako. Kutwa, kucha kumsema Mh Mbunge Prof Tibaijuka. Amejieleza sana bado ulidhiki.
Chuki hazisaidii. Unajilisha upepo.
Na wahindi watakuwepo.Huko jehanam ya Moto watajaa wazungu tupu
Anapumuliwa kisogoni!! What do you want? Wazungu bwanaAnampumulia au anapumuliwa tuanzie hapo kwanza
Mimi niliacha kumuangalia. Kipindi chake ni kizuri sana kila nimeamua kumbaguaDuh Richard Quest shoga???hata mm huwa nampenda balaa ana pozi fulan..
Sikia wewe, hii ni silence agenda inayofanya kazi kwa siri sana. Yaani wanachukua mtu maarufu (aliye tayari) na kumlisha uharisia wa uongo.walishangazwa saana kufaahamu kuwa yupo kwenye mahusiano ya wapenzi wa jinsia moja.
Watakua wanapakuana, anaechoka anampisha mwenzake... anapakua au anapakuliwa? Which is which?
Hakuna mtu anayetaka kukushawishi wewe uwe shoga. Acha porojo.Sikia wewe, hii ni silence agenda inayofanya kazi kwa siri sana. Yaani wanachukua mtu maarufu (aliye tayari) na kumlisha uharisia wa uongo.
TARGET IS YOU!, na kufikia hatua hiyo wengi waone hicho kitu kumbe ni cha kawaida kama mtu kama Tyson, Richard au sir Elton mzee wa 'Candle in the Wind' nk.
Upo GIZANI na hujui kitu wewe dogo ndiyo maana unatukana kwa kukosa 🐷pole.Hakuna mtu anayetaka kukushawishi wewe uwe shoga. Acha porojo.
Mnapenda sana kujipa umuhimu na kujikweza.
Mtakua mnapendanaDuh Richard Quest shoga???hata mm huwa nampenda balaa ana pozi fulan..
Kwamba Mimi punga😛!mie ni active mzuri tu mkuuMtakua mnapendana
Jicheki mkuu... Usijekua na viashiria
Naomba radhi Kama nimekukosea mkuuKwamba Mimi punga😛!mie ni active mzuri tu mkuu
Hapana..Niko sawa kabisa!..kuwa na amaniNaomba radhi Kama nimekukosea mkuu