Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Mi huwa simuelewi elewi..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Neutral genderedYule jamaa kazidi mbwembwe mwanaume hutakiwi kufurahi kuzidi kiasi, ukicheka jicontrol kiaina othawise watu hawachelewi kukulink na cameroon
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]hahahaha hata akikaa kwenye kiti anapiga pozi la kike , yaani ukichukua wanaume mafashionista 100 wasiopumuliwa labda 2 tu
Jamaa anajua sana...Ndo aina ya kipindi chake na mikogo yake
Muacheni mwenyew
Huyu alikua classmate wangu, hana shida yoyote labda director wa kipindi ndio anamdirect aweke mbwembwe
halafu uskute wadada na wanampenda kinoma,mchizi atakua anawafaidi sana anajichagulia tu sampuli za kila aina...Huko ndiyo anakojipatia hela ya ugali! sasa wew endeleeni kumdharau mwenzenu ikifika tar 30 a/c inavimba!! Na jamaa kwenye hcho kipindi chake mnao mdharau jamaa alisha jenga kwake wee endelea kumwona shoga wakati unalala sebuleni kwa dada yako aliko olewa
Mh sii kwa style zile mazee [emoji84]halafu uskute wadada na wanampenda kinoma,mchizi atakua anawafaidi sana anajichagulia tu sampuli za kila aina...
Ofcourse katika vipindi ambavyo havijachuja EATV hicho ni kimojawapo..Kipindi pendwa kabisa hapo eatv