Huyu mtangazaji kipindi cha Nirvana jamani?

Huyu mtangazaji kipindi cha Nirvana jamani?

Yule jamaa kazidi mbwembwe mwanaume hutakiwi kufurahi kuzidi kiasi, ukicheka jicontrol kiaina othawise watu hawachelewi kukulink na cameroon
 
Mwanzo alipokuwa anaanza kutangaza alikuwa vizuri ila siku hizi anaharibu zaidi.!
 
Huko ndiyo anakojipatia hela ya ugali! sasa wew endeleeni kumdharau mwenzenu ikifika tar 30 a/c inavimba!! Na jamaa kwenye hcho kipindi chake mnao mdharau jamaa alisha jenga kwake wee endelea kumwona shoga wakati unalala sebuleni kwa dada yako aliko olewa
 
Watu bwana kwa kuwafikiria wenzao vibaya ndo sifa yetu watanzania Mwenzetu amethubutu kutengeneza Mass Audience kwa mbwembwe zake nyie nae jitahidini kutengeneza wateja soko lenu lipande, kuna wanaobana Pua wanapata mpunga wao cha ajabu nn kwa Deo? Sifa ya Mtangazaji lazima awe na uniqueness ya kumtambulisha bhana kuna Kina George Malatu akitangaza unamjua tu hata ukiwa bafuni, Godwin Gondwe, Abdallah Mwaipaya n.k so hiyo ndio style yake Mengine Muachieni Mwenyewe
 
Huyu alikua classmate wangu, hana shida yoyote labda director wa kipindi ndio anamdirect aweke mbwembwe

Wewee mambo ya shule kila mtu ana siri yake moyoni. Si tulikuwa tukitoka shule tunakwenda na mshikaji wetu kula misuba akawa anajifanya Rebel ile mbaya. Tumemaliza shule tu katusaliti kaenda CCP Moshi, siku hizi kawa mwera unaambiwa mnoko ile mbaya. Hoo!
 
Huko ndiyo anakojipatia hela ya ugali! sasa wew endeleeni kumdharau mwenzenu ikifika tar 30 a/c inavimba!! Na jamaa kwenye hcho kipindi chake mnao mdharau jamaa alisha jenga kwake wee endelea kumwona shoga wakati unalala sebuleni kwa dada yako aliko olewa
halafu uskute wadada na wanampenda kinoma,mchizi atakua anawafaidi sana anajichagulia tu sampuli za kila aina...
 
Back
Top Bottom