Fala wewAnayo Shangazi yako.
Duh! Lugha hizi...lakini ana ' Mkia ' wa maana ( namaanisha Kalio au Tako au Wowowo au Inye au Wezere au Uvungu )
Basi ndio maana hakuna Mwanaume anaeweka kambi hapo, wote wanampitia tu. Atakaekuja kuoa hapo ana kazi sana aisee.Mkuu ni Bora usimuone hata sura yake maana ukimuona utajuta kwanini umepoteza muda kumuona.. 😁😁
Nasikia ni mtu wa machame
Huo si ujasiri na kujiamini? au waonaje mkuu?Simuelewagi huyu dada,kuna siku kataja namba zake hewani
Sasa kipindi cha umbea kitazamwe na Nani kama siyo mmbea? Halafu kipimo cha umbea siku hizi ni pale mtu anapotaka ufafanuzi!?Acha umbea wewe
Amber RuthMtandao gani huu?
Kuna siku alikuwa anapiga story kwenye kipindi kuhusu I ringa.Huyu dada ni malaya mno nilimfahamu toka wakati anafanya kazi iringa yupo kimaslahi zaidi ameambulia kuambukizwa chunusi konki zisizosikia dawa hata za dk sigwa.
Habari bila picha haina mvuto.
Jf umu kna upuuzi Wa kilaa aina jmnlako
...................
Nina muda wa Miezi miwili sasa tokea nianze Kukitizama hicho Kipindi chao ( kwani huwa kina mambo mengi tu mazuri ya Kujifunza hata kwa Sisi Wanaume juu ya Kuishi na hawa Wadada / Wapenzi wetu ) ila amekuwa akiniacha hoi pale ambapo kila ikiibuliwa tu mada fulani utamsikia akisema namnukuu.." Mimi niliwahi kuwa na Mwanaume fulani hivi ". Kwa kumbukumbu zangu hadi hivi sasa huyu Mtangazaji ameshataja idadi ya Wanaume 62 aliowahi kuwa nao.
Yaani tokea nianze kumsikia na kumfuatilia Yeye kila siku tu utamsikia anafanya ' reference ' kuwa alipokuwa na Mwanaume fulani mara huku na kule hadi najiuliza mpaka hivi sasa ameshawahi kutembea ( Kubanduliwa ) na Wanaume wangapi labda?
Nina muda wa Miezi miwili sasa tokea nianze Kukitizama hicho Kipindi chao ( kwani huwa kina mambo mengi tu mazuri ya Kujifunza hata kwa Sisi Wanaume juu ya Kuishi na hawa Wadada / Wapenzi wetu ) ila amekuwa akiniacha hoi pale ambapo kila ikiibuliwa tu mada fulani utamsikia akisema namnukuu.." Mimi niliwahi kuwa na Mwanaume fulani hivi ". Kwa kumbukumbu zangu hadi hivi sasa huyu Mtangazaji ameshataja idadi ya Wanaume 62 aliowahi kuwa nao.
Je huwa anafanya tu hizo ' references ' zake za Wanaume kama tu ' Kunogesha ' Kipindi chao Kizuri cha DADAZ au anamaanisha na kwamba ni ukweli kwamba Yeye ni Mtu wa kuwa / kutoka na Wanaume mbalimbali ndani na nje ya Tanzania? Kama huwa anatania au anamaanisha mwambieni au mshaurini kuwa ' anajiharibia ' na haijakaa vyema Kwake na anaweza tu akatumia aina nyingine ya ' Uwasilishaji ' wake.
Nawasilisha.
Sure...ila kinakera nahisi ni namna ya uendeshaji wake siwapendi wale wadada wote ..mwanne namkubal jumapili Kwa kipind ake ,, yan vidada vina midomo vile ....sijawahi date dem mwenye mambo ya zile mambo za eee shoga nikupe ubuyu NO😁😁 uwezi kupanua fikra ukiwa upande mmoja sikuzote..
Kipindi hicho kinaitwa dadaz ni kwa sababu asilimia kubwa host ni jinsia ya kike ingawa wanawakaribisha jinsia ua kiume katika mijadala mbalimbali..
Usiandike bila kutafakari
Wakati wa Mussa wana wa israeli walitengeneza nyoka wa shaba.. wamuabudu.Kipindi ni kizuri sana na scolar ni mtu machangamfu na muongeaji mzuri tatizo la Scloalar ni moja tuu anaongea mnoo kupitiliza na analeta personal issues zake mbele ya watazamaji. Mafano alishasema alikua anatoka na mume mtu na haoni kama ni shida yy kwake ni kawaida tuu. Siku ya bday yake aliweza kuongelea tofuti iliyopo kati yake na mama yake kwamba hajamlea na hakuwa anampenda mpk leo hampendi kama binti yake ikapelekea na yy kutompenda pia. Katika mazungumzo yake huwa anamtaja sana baba yake kuwa ni mtu wa muhimu na bibi yake. Mimi kwa upande wangu hizi ni personal issues. Mara anawasema rfk zake sasa inamaana hawajijui? Mara jirani zake. Na anapenda sana kulia. Sasa sijui ni matatizo ya kisaikolojia?? By the way ni bonge la mtangazaji ana sauti nzuri ya kutangaza
SureWakati wa Mussa wana wa israeli walitengeneza nyoka wa shaba.. wamuabudu.
Kile unachokiinua ndicho roho zenu zitajazwa nacho. Sex perversion na immorality ndio nyoka wa shaba wa kizazi hiki na redio na televisheni ndio mnara tumemtundika huko nyoka huyu.
Be careful with TV especially for young minds.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app