jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 9,604
- 8,812
Sidhani kama anao wengi, kwanza muangalie alivyo?! Nafikiri anatumia mifano ya watu au stories ili kunogesha kipindi, ila toka nimeanza kumsikia kwenye EAradio, nimem-sum-up kama mdada aliyetoka bush, kaushamba bado kapo, mbishi wakati mambo hajuwi (hasa anapokutana na na wale wahenga kina Diallo & David), mjuaji wakati hajuwi kitu, kweli kaenda shule, ila ya kutoa tongo tongo, simsemi vibaya ila hana mvuto kabisa..