Huyu Mtangazaji Scola Kisanga wa Kipindi cha DADAZ cha EAtv ana Wanaume / Mabwana wangapi hadi hivi sasa?

Huyu Mtangazaji Scola Kisanga wa Kipindi cha DADAZ cha EAtv ana Wanaume / Mabwana wangapi hadi hivi sasa?

Sidhani kama anao wengi, kwanza muangalie alivyo?! Nafikiri anatumia mifano ya watu au stories ili kunogesha kipindi, ila toka nimeanza kumsikia kwenye EAradio, nimem-sum-up kama mdada aliyetoka bush, kaushamba bado kapo, mbishi wakati mambo hajuwi (hasa anapokutana na na wale wahenga kina Diallo & David), mjuaji wakati hajuwi kitu, kweli kaenda shule, ila ya kutoa tongo tongo, simsemi vibaya ila hana mvuto kabisa..
 
KUM***EEEEEH kipindi cha kisenge sana hicho na wanaofuatilia kama ni (me) basi watakuwa "mapunga" ,,,,namaanisha wapungwa upepo.
Nawasilisha
 
Habari bila picha haina mvuto.
IMG_20181111_173148_385.JPG
 
...................
Nina muda wa Miezi miwili sasa tokea nianze Kukitizama hicho Kipindi chao ( kwani huwa kina mambo mengi tu mazuri ya Kujifunza hata kwa Sisi Wanaume juu ya Kuishi na hawa Wadada / Wapenzi wetu ) ila amekuwa akiniacha hoi pale ambapo kila ikiibuliwa tu mada fulani utamsikia akisema namnukuu.." Mimi niliwahi kuwa na Mwanaume fulani hivi ". Kwa kumbukumbu zangu hadi hivi sasa huyu Mtangazaji ameshataja idadi ya Wanaume 62 aliowahi kuwa nao.

[emoji2][emoji2]
Yaani tokea nianze kumsikia na kumfuatilia Yeye kila siku tu utamsikia anafanya ' reference ' kuwa alipokuwa na Mwanaume fulani mara huku na kule hadi najiuliza mpaka hivi sasa ameshawahi kutembea ( Kubanduliwa ) na Wanaume wangapi labda?

Nina muda wa Miezi miwili sasa tokea nianze Kukitizama hicho Kipindi chao ( kwani huwa kina mambo mengi tu mazuri ya Kujifunza hata kwa Sisi Wanaume juu ya Kuishi na hawa Wadada / Wapenzi wetu ) ila amekuwa akiniacha hoi pale ambapo kila ikiibuliwa tu mada fulani utamsikia akisema namnukuu.." Mimi niliwahi kuwa na Mwanaume fulani hivi ". Kwa kumbukumbu zangu hadi hivi sasa huyu Mtangazaji ameshataja idadi ya Wanaume 62 aliowahi kuwa nao.

Je huwa anafanya tu hizo ' references ' zake za Wanaume kama tu ' Kunogesha ' Kipindi chao Kizuri cha DADAZ au anamaanisha na kwamba ni ukweli kwamba Yeye ni Mtu wa kuwa / kutoka na Wanaume mbalimbali ndani na nje ya Tanzania? Kama huwa anatania au anamaanisha mwambieni au mshaurini kuwa ' anajiharibia ' na haijakaa vyema Kwake na anaweza tu akatumia aina nyingine ya ' Uwasilishaji ' wake.

Nawasilisha.

Hapa nadhani, "A", "B", "C" yote ni majibu,
hivo kwa hii case jibu sahihi zaidi ni "ALL THE ABOVE."
I mean itakuwa kashapitia ktk sexual relationship na wanaume wengi, ila wanaweza wasifke hyo idadi ya 62 au pia anaweza kuwa kaivuka hyo 62 vle vle, Au inawezekana ni references tu ili kunogesha kipindi.

😁😁 uwezi kupanua fikra ukiwa upande mmoja sikuzote..

Kipindi hicho kinaitwa dadaz ni kwa sababu asilimia kubwa host ni jinsia ya kike ingawa wanawakaribisha jinsia ua kiume katika mijadala mbalimbali..

Usiandike bila kutafakari
Sure...ila kinakera nahisi ni namna ya uendeshaji wake siwapendi wale wadada wote ..mwanne namkubal jumapili Kwa kipind ake ,, yan vidada vina midomo vile ....sijawahi date dem mwenye mambo ya zile mambo za eee shoga nikupe ubuyu NO
 
Kipindi ni kizuri sana na scolar ni mtu machangamfu na muongeaji mzuri tatizo la Scloalar ni moja tuu anaongea mnoo kupitiliza na analeta personal issues zake mbele ya watazamaji. Mafano alishasema alikua anatoka na mume mtu na haoni kama ni shida yy kwake ni kawaida tuu. Siku ya bday yake aliweza kuongelea tofuti iliyopo kati yake na mama yake kwamba hajamlea na hakuwa anampenda mpk leo hampendi kama binti yake ikapelekea na yy kutompenda pia. Katika mazungumzo yake huwa anamtaja sana baba yake kuwa ni mtu wa muhimu na bibi yake. Mimi kwa upande wangu hizi ni personal issues. Mara anawasema rfk zake sasa inamaana hawajijui? Mara jirani zake. Na anapenda sana kulia. Sasa sijui ni matatizo ya kisaikolojia?? By the way ni bonge la mtangazaji ana sauti nzuri ya kutangaza
Wakati wa Mussa wana wa israeli walitengeneza nyoka wa shaba.. wamuabudu.

Kile unachokiinua ndicho roho zenu zitajazwa nacho. Sex perversion na immorality ndio nyoka wa shaba wa kizazi hiki na redio na televisheni ndio mnara tumemtundika huko nyoka huyu.

Be careful with TV especially for young minds.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sure
 
Back
Top Bottom