Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hawa watoto wanaoendesha ukurasa wa UDOMFAME hebu waambieni wakae wasome. Wanakuja kukemea JF kuwa iache kuzungumzia kunguni, wakati huo uongozi wao unasema suala la kunguni ni suala wote kwa hiyo tushirikiane kupambana nao Uongozi wa UDOM wajibu madai ya kuwepo kunguni kwenye mabweni ya Wanafunzi
Mbali na kuweka post hiyo baadhi ya vijana wenzake wameonesha tatizo hilo lipo.
Aidha suala la kunguni vyuo kadhaa vimesema lipo na ndio sababu ya kunyunyiza dawa kabla ya wanafunzi kufungua chuo.
Mwambieni huyu mtoto asome. Uandishi wenyewe mbovu, all caps. Ajifunze kuandika kwanza.