Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
kwamba sera ya elimu tanzania ni bora kuliko ufaransa?UWEPO WA KUNGUNI VYOUNI NI MATOKEA YA SERA BORA ZA ELIMU MAANA ACCESSIBILITY IMMEONGEZEKA KUFIKIA JAMII ZA HALI DUNI KABISA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwamba sera ya elimu tanzania ni bora kuliko ufaransa?UWEPO WA KUNGUNI VYOUNI NI MATOKEA YA SERA BORA ZA ELIMU MAANA ACCESSIBILITY IMMEONGEZEKA KUFIKIA JAMII ZA HALI DUNI KABISA.
Inawezekana kabisa kunguni wawazalishe wao wenyewe, halafu dawa niwanunulie mimi!! 6000 kwa mwanachuo ni hela ndogo sana. Wakiitumia hiyo dawa, kunguni wote wanaisha.Wanunulie na uwapelekee watakushikuru.
Wasaidie wadogo zako kuna ubaya hapo?Inawezekana kabisa kunguni wawazalishe wao wenyewe, halafu dawa niwanunulie mimi!! 6000 kwa mwanachuo ni hela ndogo sana. Wakiitumia hiyo dawa, kunguni wote wanaisha.
Mkuu huijui habari ya hao wadudu sehem walipo enea huwez kuwaua kwa sumu ya elf 6 nakumbuka kipind nipo shule kule mwanza chupa moj ya dawa ikununuliwa 30k na zinapulizwa 4 kwa mara moja walirudia wiki 4 ndy tukalala kwa amanSasa hata kunguni tu mnataka mpaka uongozi wa chuo uingilie kati!! Dawa ya kuwakomesha hao wadudu inauzwa 6000 tu. Vijana acheni kudeka.
Hawajui kunguni wana nguvu zaidi ya mapenzi.Mkuu huijui habari ya hao wadudu sehem walipo enea huwez kuwaua kwa sumu ya elf 6 nakumbuka kipind nipo shule kule mwanza chupa moj ya dawa ikununuliwa 30k na zinapulizwa 4 kwa mara moja walirudia wiki 4 ndy tukalala kwa aman
Nipeni tenda ya kutokomeza hao wadudu wasumbufu wasiokuwa na adabuHawajui kunguni wana nguvu zaidi ya mapenzi.
Wanatokea tuu,sababu ya joto na kueadhibiti ni ngumu sana kwani hujificha kwenye nyufa,madirisha,kabatini,masofa,godoro tena kama unakitanda cha mbao wafwa!Cha chuma ukitoa nje kwenye jua wanachomoka balaa,na anauwezo kushinda njaa hata mwezi ukitokea tuu halali yake!Hivi mpaka Leo bado unaamini KUNGUNI ni 7bu ya UCHAFU wa mtu au MAZINGIRA
Mkuu leo mbona hujaandika kwa italics.Sasa hata kunguni tu mnataka mpaka uongozi wa chuo uingilie kati!! Dawa ya kuwakomesha hao wadudu inauzwa 6000 tu. Vijana acheni kudeka.
Hahaaha ati kwa mbaaalii kwa hiyo unawaangalia kupititia darubini?Watakuwepo kweli,mimi naishi hapa Dodoma nilikuwa siwafahamu kunguni!wenyeji wa huku unawakuta wanaanika magoro,ukiwauliza wanakwambia kunguni.Hata kwangu wapo kwa mbaali!!!
Wana mwaka mkuu,nimetumia kila dawa,wanapotea miezi kadhaa wanaibuka!yaani nina bajeti ya kunguni,mgongo umechakaa kwa kungatwaa.Yaani nikitaka kwenda church nanyoosha nguo kwa kupiga pasi sikai wala kuweka popote navaa nduki ,maana wanaweza kukuaibisha mbele za watu.Hahaaha ati kwa mbaaalii kwa hiyo unawaangalia kupititia darubini?
Hao wanga wanauwezo wakushinda njaa hata mwezi wakiwa wanakusubiri.
Wapo kwani ni vibaya kusema ukweli wapo?Udomfame mmeyakanyaka bandugu.
JAMII FORUMS NI LEVEL NYINGINE.
HUKU HABARI ZOTE ZIMECHUJWA NA KUCHUJWA NDIO ZINAPOSTIWA.
KUNGUNI WAPO NA WALA SI JAMBO LA KUFICHA.
Uko sawa mkuuKunguni na joto labda usome vyuo na shule za bweni sehemu za baridi ,hapo Udom ni kwikwi yaani hata ukiangalia hostel baadhi sio standard magodoro kama ulimi yaani hata shule yetu ya advance mabweni yake yana afadhali na chumba kikubwa kuna mwanga wa kutosha.
Udom kunguru wamejaa tele na hakuna habari za kupakazia ni suala la ukweli na uwazi yaani hovyo kabisa .
Wanafunzi wengi wachafu yaani kiasili yaani hata magetto yao chuoni ,unaweza kushangaa mpaka vyoo wanaharibu yaani sijui binadamu wanakuwaje !?
Nikisema ati siwajui hao wadudu nitakuwa mnafki wa kutupwa,Wana mwaka mkuu,nimetumia kila dawa,wanapotea miezi kadhaa wanaibuka!yaani nina bajeti ya kunguni,mgongo umechakaa kwa kungatwaa.Yaani nikitaka kwenda church nanyoosha nguo kwa kupiga pasi sikai wala kuweka popote navaa nduki ,maana wanaweza kukuaibisha mbele za watu.