Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hao ni machawaHawa watoto wanaoendesha ukurasa wa UDOMFAME hebu waambieni wakae wasome. Wanakuja kukemea JF kuwa iache kuzu
Wanunulie na uwapelekee watakushikuru.Sasa hata kunguni tu mnataka mpaka uongozi wa chuo uingilie kati!! Dawa ya kuwakomesha hao wadudu inauzwa 6000 tu. Vijana acheni kudeka.
Mkuu wananfunzi hawana hela, angalia jamaa zako kipindi mnasoma na hali zao baada ya kuja mtaani utajua kabisa maisha ya chuo ni magumu. Ukizungumzia 6,000 usizungumzie kama mtu mwenye michongo yako, angalia kama mwanafunzi wa chuoSasa hata kunguni tu mnataka mpaka uongozi wa chuo uingilie kati!! Dawa ya kuwakomesha hao wadudu inauzwa 6000 tu. Vijana acheni kudeka.
Hapa Dodoma kuna kunguni balaa hasa sehemu zinazoitwa kitopeni usiombe uende msibani ukalala huko !umewakaribisha home.Hawa watoto wanaoendesha ukurasa wa UDOMFAME hebu waambieni wakae wasome. Wanakuja kukemea JF kuwa iache kuzungumzia kunguni, wakati huo uongozi wao unasema suala la kunguni ni suala wote kwa hiyo tushirikiane kupambana nao Uongozi wa UDOM wajibu madai ya kuwepo kunguni kwenye mabweni ya Wanafunzi
View attachment 2785123
Mbali na kuweka post hiyo baadhi ya vijana wenzake wameonesha tatizo hilo lipo.
View attachment 2785141
Aidha suala la kunguni vyuo kadhaa vimesema lipo na ndio sababu ya kunyunyiza dawa kabla ya wanafunzi kufungua chuo.
Mwambieni huyu mtoto asome. Uandishi wenyewe mbovu, all caps. Ajifunze kuandika kwanza.
Huyo dogo yeye ndiye anayetakiwa kufuta uzi wake wa kukanusha kwakuwa ndio anapotosha na kuficha ukweli! JF huwa haikurupukiHawa watoto wanaoendesha ukurasa wa UDOMFAME hebu waambieni wakae wasome. Wanakuja kukemea JF kuwa iache kuzungumzia kunguni, wakati huo uongozi wao unasema suala la kunguni ni suala wote kwa hiyo tushirikiane kupambana nao Uongozi wa UDOM wajibu madai ya kuwepo kunguni kwenye mabweni ya Wanafunzi
View attachment 2785123
Mbali na kuweka post hiyo baadhi ya vijana wenzake wameonesha tatizo hilo lipo.
View attachment 2785141
Aidha suala la kunguni vyuo kadhaa vimesema lipo na ndio sababu ya kunyunyiza dawa kabla ya wanafunzi kufungua chuo.
Mwambieni huyu mtoto asome. Uandishi wenyewe mbovu, all caps. Ajifunze kuandika kwanza.
Watakuwepo kweli,mimi naishi hapa Dodoma nilikuwa siwafahamu kunguni!wenyeji wa huku unawakuta wanaanika magoro,ukiwauliza wanakwambia kunguni.Hata kwangu wapo kwa mbaali!!!Huyo dogo yeye ndiye anayetakiwa kufuta uzi wake wa kukanusha kwakuwa ndio anapotosha na kuficha ukweli! JF huwa haikurupuki
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mpaka Leo bado unaamini KUNGUNI ni 7bu ya UCHAFU wa mtu au MAZINGIRAHivi kwani chuo ndio kinaweka kunguni kwenye hostels au ni wanafunzi wachafu wasiozingatia usafi ndio chanzo cha kunguni?
Yaani ni aibu kwa wanafunzi wa chuo kikuu kuanza kulia lia kuwa mna kunguni sehemu za mnazolala wenyewe...