Huyu mtoto aliyeandika post hii aambiwe akae asome kwa bidii

Nikisema ati siwajui hao wadudu nitakuwa mnafki wa kutupwa,
Unaweza kulala wakaleta mashambulizi ila ukisema ngoja nikawashe taa humuoni hata mmoja.
Mtu anayesema ati kunguni ni uchafu wewe muache azeeke na uzezeta wake.
Wafaransa sio wachafu ni watu wanaojipenda sana,ndio waliowatawala wakongo!Waangalie wakongo wanavyojipenda sasa hii ndio ile kwenye somo la history tuliita''Assimilation''kutoka wafaransa kwenda kwenye makoloni yao.
 
Uchafu uchafu....vijana ni wachafu sana hizo hostel zao ni nzuri tena kubwa tatizo uchafu...na wengine wanatoka nazo makwao
Hii nayo mnataka serikali iingilie kati kweli?
 
Uchafu uchafu....vijana ni wachafu sana hizo hostel zao ni nzuri tena kubwa tatizo uchafu...na wengine wanatoka nazo makwao
Hii nayo mnataka serikali iingilie kati kweli?
Sio uchafu mkuu!Ni wadudu.Wakikukuta usije kusema,toa suruhisho.
 
Uchafu uchafu....vijana ni wachafu sana hizo hostel zao ni nzuri tena kubwa tatizo uchafu...na wengine wanatoka nazo makwao
Hii nayo mnataka serikali iingilie kati kweli?
Wengi wanatoka nao kwenye nyumba za wageni wanapo safiri kwenda vyuoni na ndani ya mabasi.
Nimeona mara kibao kunguni ndani ya daladala DSM. Huko Mikoani kama Dodoma watakuwa wa kumwaga.
 
Wengi wanatoka nao kwenye nyumba za wageni wanapo safiri kwenda vyuoni na ndani ya mabasi.
Nimeona mara kibao kunguni ndani ya daladala DSM. Huko Mikoani kama Dodoma watakuwa wa kumwaga.
Sasa watafute suluhisho na sio kukanusha kwamba tatizo hamna wakati lipo
Hao ni wasomi tunatarajia wafanye kama wasomi
 
Dodoma kuna kajoto flani hivi ambacho ni kizuri kwa kunguni......Yaani apooo wangetumia busara tu kukubali tatizo na kuomba wanafunzi kuripoti matatizo sehemu husika ..Dawa ya tatizo ni kulifuata sio kukimbia tatizo
 
Hata kama hakuna kunguni basi wapunguze uchafu bwana.
Hostel nzuri na zilivyo nyeupe
Ila uchafu sasa[emoji119]Hasa hostels za wanaume.

Punguzeni uchafu basi.
Kunguni kuwepo sio sababu ya uchafu...unaweza kuwa msafi nawakawasumbua vile vile..... nadhani hujawai experience vzr hawa kunguni
 
Mbona dogo kawaka sana?

Kwani kunguni husababishwa na nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…