Huyu mtoto niliyemkataa ananikosesha raha

Unaogopa jukumu la kulea mtoto, unamuogopa mkeo, unamuogopa mzazi mwenzako, unaogopa vyote, au unaogopa nini?

Mwanamme hatakiwi kuogopa ogopa.

Mwambie mkeo una mtoto uwe huru kumlea.
Nipo kwenye ndoa nataka nisolve taratibu hili tatizo
 
Niletee mtoto huyo, nitamlea bila kuathiri ubaba wako kwake.
 
Nimekosa jibu ila watoto wa nje ndio wanaotulea Wazee, wale wa Kwenye ndoa ndio wanaoimba, Nani kama Mama. The choice is yours
 
Baba shikamoo:-
Kam mtoto ni wako mkuu akija dukani na 5000 akahitaji mchele kg 1½ mpe kg 5 na mafuta lita 5 na chenchi ya tshs 18500/-
 
Nipo kwenye ndoa nataka nisolve taratibu hili tatizo
Njia za kutatua tatizo ni pamoja na kukubali tatizo, kuomba msamaha kwa uliyemkosea.

Kuna mtu alikuwa na tatizo kama lako.

Alichofanya ni.

1. Alimshirikisha kiongozi wake wa imani, mchungaji. Aliungama kosa lake. Na kuomba mchungaji amsaidie kumsuluhisha na mkewe.

2. Alimtaarifu mkewe na alimuomba radhi mkewe kwa kumficha habari hii.

3. Alipata msamaha kutoka kanisani na kwa mke wake.

4. Alimchukua mtoto wake na kukaa naye.

Yeye alikuwa na bahati kiasi fulani mzazi mwenzake hakuwa na matatizo kabisa.
 
Ok, basically mtoto anateseka si umemkana?. Hopeless kabisa. Maisha yako ni matokeo ya mafanikio na makosa yako. kubali kuwajibika.
Be responsibleeeeeeeee!!!!!.
Endelea na maisha Yako mzee mbona unalazimisha Mambo
 
Uzi mmoja unatosha

Nyambafff
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…