Huyu mtoto niliyemkataa ananikosesha raha

Huyu mtoto niliyemkataa ananikosesha raha

Bora urudishe majeshi mapema ukichelewa zaidi ngoma itakua ngumu zaidi
 
Jana kidogo nikuamini lakini leo umedhihirisha hii ni chai unatumiminia
Jitambue siyo lazima upost
 
Unaogopa jukumu la kulea mtoto, unamuogopa mkeo, unamuogopa mzazi mwenzako, unaogopa vyote, au unaogopa nini?

Mwanamme hatakiwi kuogopa ogopa.

Mwambie mkeo una mtoto uwe huru kumlea.
Sahihi sana, ushauri mzuri aufuate.
 
Back
Top Bottom