Huyu mtoto niliyemkataa ananikosesha raha

Tatizo lolote ni fursa mkuu don't play with ur problem but embrace it

Mtoto ni wako na mke ni wako

Mke wako na mtoto wako nani anastahili kula jasho lako effectively ?

Tatizo linamalizwa kwa kulikubali na sio kulikimbia
 
fanya juu chini mchukue mtoto kiongozi, kama imeshindikana kumchukua basi hakikisha unahudumia hata kama mama yake atakua mkorofi kiasi gani we hangaika na mtoto wako tuu.
 
fanya juu chini mchukue mtoto kiongozi, kama imeshindikana kumchukua basi hakikisha unahudumia hata kama mama yake atakua mkorofi kiasi gani we hangaika na mtoto wako tuu.
Sawa mkuu nimekuelewa
 
Nenda kaombe rehema kwa Mungu wako, mtoto hakataliwi. Tena kafute roho za kukataliwa juu ya mwanao,utamfanya awe mtu wa kukataliwa maisha yake yote.
Mwanaume unaanzaje kukataa mtoto?
Hata kama siyo damu yako wewe lea,Mungu atakulipa zaidi ya yale ulotenda
 
Unaogopa jukumu la kulea mtoto, unamuogopa mkeo, unamuogopa mzazi mwenzako, unaogopa vyote, au unaogopa nini?

Mwanamme hatakiwi kuogopa ogopa.

Mwambie mkeo una mtoto uwe huru kumlea.
It requires kind of boldness but the best option so far. The truth will set him free indeed.
 
Unamkataa mtoto ? Km ulilala na huyo mwanamke we amini hiyo ni damu yako ,hivyo mlee na umsaidie huyo mtoto , maana kuna siku utamtafuta mwanao kwa uhitaji wako na hutompata.
 
Tafuta muafaka kabla Mambo hayajafikia huko la sivyo huyo mtoto Hana hatia, tumia wazee wamtambue au kapime DNA
 
Mababa wa kisasa wanakomaa na watoto wao wewe unaogopa, yaani unaogopa bao lako?
 
Kwa hiyo unataka kutueleza kwamba haujawahi kuamkiwa kabla ya hapo?
 
kwan mzungu wako wa denmark anasemaje! muulze labda atamkubali kama mwanae pia au huoni fursa ya mtoto kuwa na baba wawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…