masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Rujewa hiyo, lafudhi ya kisanguView attachment 3115344
Hawa jamaa waliomrekodi huyu mtoto ingekuwa wanalipwa, wamepiga bingo...
Hii video sijawahi kuichoka, mtoto mzuri na lafudhi yake nzuri.View attachment 3115344
Hawa jamaa waliomrekodi huyu mtoto ingekuwa wanalipwa, wamepiga bingo.
Mtoto anaongea kwa lafidhi yake nafikiri kibena au kihehe kwafudhi ya kufurahisha na kuchekesha.
Na hapo alipo mtoto haigizi.
Na wanaomuigiza mtandaoni sasa wamekuwa wengi sana.
Nimempenda huyu mtoto
Tutakuitia masimba.🙂 nrudishie mb zangu.....
Kanasound so innocent, hakajui kabisa maisha nini kenyewe ni kuzurula kakamtafute mjomba wake,, wametaka kumpa lift kawakatalia kuwa home ni karibu na bado mapema atafika, akili bado iko na virginity, sasa subiri akue kue ni mwendo wa kupiga matukio mabinti wa watu mpaka wanyookeHii video sijawahi kuichoka, mtoto mzuri na lafudhi yake nzuri.
Sijui watu wanaweza vipi kuwachukia watoto wengine wanawaua!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kanasound so innocent, hakajui kabisa maisha nini kenyewe ni kuzurula kakamtafute mjomba wake,, wametaka kumpa lift kawakatalia kuwa home ni karibu na bado mapema atafika, akili bado iko na virginity, sasa subiri akue kue ni mwendo wa kupiga matukio mabinti wa watu mpaka wanyooke
Huyu ataendelea kuwa innocent hadi ukubwani. Mtoto kukataa lift ya bure maana yake hakana tamaa, na anajua situations za kuomba au kupata misaada.Kanasound so innocent, hakajui kabisa maisha nini kenyewe ni kuzurula kakamtafute mjomba wake,, wametaka kumpa lift kawakatalia kuwa home ni karibu na bado mapema atafika, akili bado iko na virginity, sasa subiri akue kue ni mwendo wa kupiga matukio mabinti wa watu mpaka wanyooke
🤣🤣🤣subiri kakue awafurahisheHuyu ataendelea kuwa innocent hadi ukubwani. Mtoto kukataa lift ya bure maana yake hakana tamaa, na anajua situations za kuomba au kupata misaada.
Mtoto anachoogopa ni masimbaa, ila kwa kujitegemea hana shida.