Huyu mtoto very natural, huchoki kumsikiliza!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,207
Reaction score
13,839

Hawa jamaa waliomrekodi huyu mtoto ingekuwa wanalipwa, wamepiga bingo.
Mtoto anaongea kwa lafidhi yake nafikiri kibena au kihehe kwafudhi ya kufurahisha na kuchekesha.

Na hapo alipo mtoto haigizi.
Na wanaomuigiza mtandaoni sasa wamekuwa wengi sana.

Nimempenda huyu mtoto
 
View attachment 3115344

Hii video sijawahi kuichoka, mtoto mzuri na lafudhi yake nzuri.

Sijui watu wanaweza vipi kuwachukia watoto wengine wanawaua!
 
Mtoto ana kitu , akipata mazingira mazuri atafika mbali.
 
Hii video sijawahi kuichoka, mtoto mzuri na lafudhi yake nzuri.

Sijui watu wanaweza vipi kuwachukia watoto wengine wanawaua!
Kanasound so innocent, hakajui kabisa maisha nini kenyewe ni kuzurula kakamtafute mjomba wake,, wametaka kumpa lift kawakatalia kuwa home ni karibu na bado mapema atafika, akili bado iko na virginity, sasa subiri akue kue ni mwendo wa kupiga matukio mabinti wa watu mpaka wanyooke
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Masimbaaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kanasound so innocent, hakajui kabisa maisha nini kenyewe ni kuzurula kakamtafute mjomba wake,, wametaka kumpa lift kawakatalia kuwa home ni karibu na bado mapema atafika, akili bado iko na virginity, sasa subiri akue kue ni mwendo wa kupiga matukio mabinti wa watu mpaka wanyooke
Huyu ataendelea kuwa innocent hadi ukubwani. Mtoto kukataa lift ya bure maana yake hakana tamaa, na anajua situations za kuomba au kupata misaada.

Mtoto anachoogopa ni masimbaa, ila kwa kujitegemea hana shida.
 
🤣🤣🤣subiri kakue awafurahishe
 
Back
Top Bottom