Huyu mtu alikuwa jini au? Nilisoma na mwanafunzi kipanga ambaye ni mtoro, mtundu, anavuta bangi, kila kesi yumo, n.K

nishajaribu kufanya ivo aseee nilikula za uso necta[emoji1][emoji1] ,ila maisha bana unaweza kuwa vibaya darasan ukawa vizuri mtaani pia unaweza ukawa vizur darasan ukafeli mtaani.
Malizia pia unaweza ukala za uso na za chogo,
Tusidanganywe na misemo ya kihenga,
Eti sijui mchumia juani hulia kivulini...
Maisha hayaendi kwa huruma, unaweza utembelee rim mwanzo mwisho na mwenzako bata mwanzo mwisho.
 
Huyo toka awali alikuwa ni mfano wa kuigwa
 
Kuna mtandao unaitwa reddit nilikuta kuna mada ya kuzungumzia watu ambao walionekana miyeyusho ila wakapindua meza.

Jamaa mmoja akasema alijiunga shule ya muziki, katika hiyo shule kuna mwanafunzi alikua haiingii darasani, ni mvuta bangi muda wote yupo high. Lakini ikitolewa assignment labda ya kuandika ushairi au kutungia beat shairi fulani mara zote mshkaji alikua anaongoza darasa. Isipokua alikua mtulivu, mkimya, hana makuu na hana muonekano wa kisupastaa.

Huyo jamaa ndiye Ed Sheeran tumuonaye leo.
 
Kumbeee!!
 
Kama Ed ana smoke weed mi nina niikatae
 
tofautisheni vitu hivyi dull,normal,bright,genius,gifted
Ila kwenye maisha mitaani kuna tofauti kidogo hapo ndio ninapompenda mungu anagawa riziki bila upendeleo
ma genius wengi wanakuwa na maisha ya kawaida kabisa mara nyingi wanakuwa watu wa kutumikishwa yaani kuajiriwa ni wagumu sana wa kubuni mambo mapya akili nyingi huondoa maarifa.
Hawa gifted sio lazima darasa ni vipaji mfano Diamond na dhani hata ukimuambia squre root ya 169 ni ngapi hawezi kukuambia lakini staging hakuna mfanowe ajabu sasa huyu ndio anamuajiri huyo kipanga unavyomuita.
 
Huyo alikosea njia aliktakiwa asome digrii za sayansi akaenda kusoma digrii za chekechea za uhasibu ndio maana ikawa rahisi kwake kufaulu
 
Mkuu magenius wengi tunaowajua walikuws wanawatumikia watu.

Angalia akina einstein wamefanya nini katika ulimwengu ambao leo katika maisha yetu tunatumia pengine kazi yake.

Angalia kaina tesla michango yao katjka jamii walivyowatumikia watu.

Angalia akina isack newton wote hao na wengineo.

Magenius ni watu wa kuwaza kuwatumikia wengine na kuwarahisishia watu maisha kwa kuafanya vumbuzi mbalimbali.

Hivyo magenius wengi huwa ni watu wa kuajiriwa kwa sababu ndo nature yao kuwatumikia wengine huku hawa wengine wakiwategemea magenius waendeshe mambo yao.

Akina elon musk lazima wawe wameajiri watu waliokuwa vizuri kichwani ili wawatumikie kwa vumbuzi mbalimbali.

Leo medicine tunayoiona bila hawa wataalamu magenius wa zamani kuwaza kuwatumikia watu na kuondoa changamoto zao basi tusingekuwa na fani ya tiba tena kisayansi zaidi.

Waliovumbua microscope waliwaza kuwatumikia watu hivyo hivyo.

Waliobuni gari na vyombo mbalimbali vya usafiri nao waliwaza pia kuwatumikia watu mpaka leo unaona tunatumia idea zao.

Magenius hawawatumikii watu kwa nafasi zao,bali huwatumikia watu kwa vumbuzi zao.

Mabosi ni watu wanaotegemea wafanyakazi ndio maana watu maarufu duniani walikuwa mashuhuri kwa gunduzi

Hivyo mkuu magenius ni watu wa kutumikia wengine.
 
Unamsemehea Alex sanga nn
 
Wapo watu wa hivyo,ni vichwa vizuri,wana nasa na kuelewa haraka sana...
 
Katika maisha mkuu kuna stages tofauti tofauti, na kila stage ina tactics zake based on circumstances.
Unaweza kuta hiyo haiba yake kuna watu walivutiwa nayo kwa matumizi yao na akawa recruited with tight restrictions.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…