Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
ulikuwa wavuta ?Nimekumbuka form two.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ulikuwa wavuta ?Nimekumbuka form two.
Malizia pia unaweza ukala za uso na za chogo,nishajaribu kufanya ivo aseee nilikula za uso necta[emoji1][emoji1] ,ila maisha bana unaweza kuwa vibaya darasan ukawa vizuri mtaani pia unaweza ukawa vizur darasan ukafeli mtaani.
Huyo toka awali alikuwa ni mfano wa kuigwaHuyu Bwana alikuwa anatukimbiza vibaya mno darasani, form 4 alipiga division 1 ya 11 ya enzi hizo kabla ya 2010, (zilikuwa adimu mno), shule ilikuwa haijawahi kupata mtu aliefaulu kwa ufaulu huu, shule ilikuwa ya waida sana
Siffa za huyu mtu
1. Alikuwa mtoro sana, Kufika kwake asubuhi ilikuwa iwe ushahidi tu kafika, saa nne ikifika ashasepa
2.Alikuwa mhuni huyu bwana, Form 2 alianza kuvuta bangi na form 3 alianza kuuza kabisa shuleni
3.Yeye na wenzake waliwahi kupewa suspension kwa kumpiga Mwalimu (jamaa alikuwa anapiga chuma), pia kutuhumiwa kufoji risiti ya ada
4.Kwenye Mapenzi huku kavunja mioyo ya mabinti wengi, alikuwa playboy.
5.Alikuwa kiongozi wa kundi bovu, wengi walitimuliwa ila yeye akili zilimlinda kuendelea kubaki
5. waliojaribu kumwiga walifeli
6.Alipenda sana kusoma vitabu, Hata aumwe huyu bwana kwake kusoma vitabu ilikuwa kama chakula, sizungumzii vitabu hivi vya darasani, ni vitabu vya elim binafsi
Leo hii atika pita pita zangu nilkutana na rafiki yangu flani wa sekondari, sasa katika mazungumzo ya nani yupo wapi anafanya nini, nilipigwa na butwaa ambalo hadi sasa ivi naona ni kama mujiza, Huyo bwana mtundu hapo juu saizi ana kazi nzuri tu katika moja ya taasisi kubwa ya serikali.
Tulipomaliza form 4 huyo bwana, huko form 6 alizidi utundu wake kufikia steji ya kuhama shule 3, biashara yake hio alianza kufata mzigo Arusha na akawa anauza mtaani na shuleni, ila akafaulu na divishen 1 ya 5 na kuongozea shule aliyosoma, na hioo shul wanadhani alinunu mtihani,
Akachaguliwa chuo safi tu kwa huo ufaulu wake, Na huko kwa uhuru aliopata nadhani unaweza kujenga picha, ila alihitimu kwa G.P.A ya 4.7 (first class), alipata kazi kiulaini sana, alipoenda kuendelea na masters alipomaliza matokeo yake yalimbeba zaidi saizi ana kazi nzuri tu, Mbali na hapo pia ana miradi halali.
Kwa sasa ni mtu aliebadilika sana kuwa miongoni mwa watu ambao ni mifano ya kuigwa, hana makuu wala vurugu, kawa mcha Mungu, watu wake wa karibu wanasema kaacha kuvuta bangi ila hunywa pombe mara chache sana, Ni baba wa familia inayoishi vizuri kimaadili, n.k
Siku hizi kaacha ishu zake hizi nadhani yalikuwa mambo ya ujana ila bado najiuliza huyu ni mtu kweli??
Acha kunichimba kijanaulikuwa wavuta ?
Hahaaaa!dahHuyo toka awali alikuwa ni mfano wa kuigwa
Kumbeee!!Kuna mtandao unaitwa reddit nilikuta kuna mada ya kuzungumzia watu ambao walionekana miyeyusho ila wakapindua meza.
Jamaa mmoja akasema alijiunga shule ya muziki, katika hiyo shule kuna mwanafunzi alikua haiingii darasani, ni mvuta bangi muda wote yupo high. Lakini ikitolewa assignment labda ya kuandika ushairi au kutungia beat shairi fulani mara zote mshkaji alikua anaongoza darasa. Isipokua alikua mtulivu, mkimya, hana makuu na hana muonekano wa kisupastaa.
Huyo jamaa ndiye Ed Sheeran tumuonaye leo.
Kama Ed ana smoke weed mi nina niikataeKuna mtandao unaitwa reddit nilikuta kuna mada ya kuzungumzia watu ambao walionekana miyeyusho ila wakapindua meza.
Jamaa mmoja akasema alijiunga shule ya muziki, katika hiyo shule kuna mwanafunzi alikua haiingii darasani, ni mvuta bangi muda wote yupo high. Lakini ikitolewa assignment labda ya kuandika ushairi au kutungia beat shairi fulani mara zote mshkaji alikua anaongoza darasa. Isipokua alikua mtulivu, mkimya, hana makuu na hana muonekano wa kisupastaa.
Huyo jamaa ndiye Ed Sheeran tumuonaye leo.
Huyo alikosea njia aliktakiwa asome digrii za sayansi akaenda kusoma digrii za chekechea za uhasibu ndio maana ikawa rahisi kwake kufauluKuna jamaa angu pale chuo cha uhasibu Arusha. Alikua anaingia kwenye paper kalewa kichizi. Mpaka wasimamizi wa mtiani wanamuweka karibu na mlango ili apigwe upepo kidogo pombe ipungue kichwani. Lakini matokeo yakitoka mchizi utakuta kapiga 80 au 90 ya mia. Sijui yupo wap huyu jamaa tulishapotezanaga kitambo sana.
Mkuu magenius wengi tunaowajua walikuws wanawatumikia watu.tofautisheni vitu hivyi dull,normal,bright,genius,gifted
Ila kwenye maisha mitaani kuna tofauti kidogo hapo ndio ninapompenda mungu anagawa riziki bila upendeleo
ma genius wengi wanakuwa na maisha ya kawaida kabisa mara nyingi wanakuwa watu wa kutumikishwa yaani kuajiriwa ni wagumu sana wa kubuni mambo mapya akili nyingi huondoa maarifa.
Hawa gifted sio lazima darasa ni vipaji mfano Diamond na dhani hata ukimuambia squre root ya 169 ni ngapi hawezi kukuambia lakini staging hakuna mfanowe ajabu sasa huyu ndio anamuajiri huyo kipanga unavyomuita.
Unamsemehea Alex sanga nnKuna jamaa angu pale chuo cha uhasibu Arusha. Alikua anaingia kwenye paper kalewa kichizi. Mpaka wasimamizi wa mtiani wanamuweka karibu na mlango ili apigwe upepo kidogo pombe ipungue kichwani. Lakini matokeo yakitoka mchizi utakuta kapiga 80 au 90 ya mia. Sijui yupo wap huyu jamaa tulishapotezanaga kitambo sana.
unamzunguzia yule jamaa mweusi.? Alikua anapenda ugomvi ugomvi?Unamsemehea Alex sanga nn