Huyu mtu alikuwa jini au? Nilisoma na mwanafunzi kipanga ambaye ni mtoro, mtundu, anavuta bangi, kila kesi yumo, n.K

primary 1997,kuna kijamaa kilikuwa kitori shule sio kawaida.
yaani kanachapwa leo na adhabu za kushika masikio,siku mbili baadae hakaji shule.

mtihani wa muhula kanashika nafasi ya pili au yq kwanza.necta kakapata wastani wa vipaji kakapelekwa songea boys.
 
Umbwe Sec alikuwepo jamaa moja naona ni kama unamzungumzia yeye
 
Huyo jamaa story yake na mm 99% tunafanana kasoro tu me nikipiga chini ajira now na biashara zangu
Ila enzi zangu akili ndo ilisababisha niwe naachwa
Ila kuanzia la sita mpk formsix nilikuwa kila mwaka na soma shule nyingine
Nimesoma shule 8 na zote nilikuwa naongoza class
Now nishaacha ujinga

Na Mungu nae alivyo ananipatia matoti madume tupu sjui huko mbele yataiga tabia ya baba[emoji24]
 
Wapo wengi tu, kama umewahi soma shule za vipaji unaweza kuwa na mifano mingi...

Mfano mmojawapo ni Wakili msomi wa the Don...kichwa sana yule mwamba na kafanya mambo mengi mengi tu akiwa skonga hahaha
Sure thing aisee, Msando alisoma Ilboru hivi right?

A-level nilisoma Mzumbe sekondari, ingawa nilikua vizuri lakini nilikutana na watu wapo gifted vibaya mnoo.

Nakumbuka kuna dogo wa form two tulikua tunasolve naye paper za A-level physics fresh tuu.

Imagine!!
 
Nilijua tu witch doctor lazima atakuwa mwafrika
 
Nilijua tu witch doctor lazima atakuwa mwafrika
uko sawa mkuu hata mimi wakati natafuta picha kwenye google kuweka vikolezo nimetafuta withdoctor mzungu nikakosa nikakutana na huyu mwenzetu.Ajabu sasa wewe google andika photo of angel utaona mzungu andika photo of satan utaona muafrica dunia haina usawa
 
Nilisoma na mwana kama huyo
Hapo ndo msemo wa msafara wa mamba kenge pia wapo uliponiingia zaidi akilini na kuniumiza mtima 😓😓
 


"Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi, kila mtu anakotoka anakujua yeye mwenyewe".
 
Tanzania tumebarikiwa kuwa na ma genius kadhaa, mfano TUNDU LISSU, ni genius wa sheria, ila serikali haithamin uwezo wake!
 
Kuna mmoja nilisoma nae sekondari tatizo la yule jamaa ni mtoro hatari siku mwalimu akandaa siku ya kuchapa watoro Tena baada ya kumaliza mitihani ikafika zamu ya yule jamaa mwalim akaanza kucheka mwenyewe jaamaaa Masomo yote ana A alaf mtoro wenzangu na Mimi hatukuwa kutega hata kwenye thelathini Bora hatupo alimuacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…