Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na hioo shul wanadhani alinunua mtihani.hapa ndipo ulipoharibu stori,yani mtu waliyesoma nae ,maana yake kafanya nao mitiani mingi ya shule na atakua kawaburuza kama alivyokuwa anawaburuza nyinyi,sasa inakuwaje wadhani kaiba mtihani baada ya kupata 1.5Huyu Bwana alikuwa anatukimbiza vibaya mno darasani, form 4 alipiga division 1 ya 11 ya enzi hizo kabla ya 2010, (zilikuwa adimu mno), shule ilikuwa haijawahi kupata mtu aliefaulu kwa ufaulu huu, shule ilikuwa ya kawaida sana
Siffa za huyu mtu
1. Alikuwa mtoro sana, kufika kwake asubuhi ilikuwa iwe ushahidi tu kafika, saa nne ikifika ashasepa
2. Alikuwa mhuni huyu bwana, Form 2 alianza kuvuta bangi na form 3 alianza kuuza kabisa shuleni
3. Yeye na wenzake waliwahi kupewa suspension kwa kumpiga Mwalimu (jamaa alikuwa anapiga chuma), pia kutuhumiwa kufoji risiti ya ada
4. Kwenye Mapenzi huku kavunja mioyo ya mabinti wengi, alikuwa playboy.
5. Alikuwa kiongozi wa kundi bovu, wengi walitimuliwa ila yeye akili zilimlinda kuendelea kubaki
5. Waliojaribu kumwiga walifeli
6. Alipenda sana kusoma vitabu, hata aumwe huyu bwana kwake kusoma vitabu ilikuwa kama chakula, sizungumzii vitabu hivi vya darasani, ni vitabu vya elim binafsi
Leo hii atika pita pita zangu nilkutana na rafiki yangu flani wa sekondari, sasa katika mazungumzo ya nani yupo wapi anafanya nini, nilipigwa na butwaa ambalo hadi sasa ivi naona ni kama mujiza, Huyo bwana mtundu hapo juu saizi ana kazi nzuri tu katika moja ya taasisi kubwa ya serikali.
Tulipomaliza form 4 huyo bwana, huko form 6 alizidi utundu wake kufikia steji ya kuhama shule 3, biashara yake hio alianza kufata mzigo Arusha na akawa anauza mtaani na shuleni, ila akafaulu na divishen 1 ya 5 na kuongozea shule aliyosoma, na hioo shul wanadhani alinunu mtihani.
Akachaguliwa chuo safi tu kwa huo ufaulu wake, Na huko kwa uhuru aliopata nadhani unaweza kujenga picha, ila alihitimu kwa G.P.A ya 4.7 (first class), alipata kazi kiulaini sana, alipoenda kuendelea na masters alipomaliza matokeo yake yalimbeba zaidi saizi ana kazi nzuri tu, Mbali na hapo pia ana miradi halali.
Kwa sasa ni mtu aliebadilika sana kuwa miongoni mwa watu ambao ni mifano ya kuigwa, hana makuu wala vurugu, kawa mcha Mungu, watu wake wa karibu wanasema kaacha kuvuta bangi ila hunywa pombe mara chache sana, ni baba wa familia inayoishi vizuri kimaadili, n.k
Siku hizi kaacha ishu zake hizi nadhani yalikuwa mambo ya ujana ila bado najiuliza huyu ni mtu kweli?
Ulitaka kufikisha ujumbe gani kwetu?Huyu Bwana alikuwa anatukimbiza vibaya mno darasani, form 4 alipiga division 1 ya 11 ya enzi hizo kabla ya 2010, (zilikuwa adimu mno), shule ilikuwa haijawahi kupata mtu aliefaulu kwa ufaulu huu, shule ilikuwa ya kawaida sana
Siffa za huyu mtu
1. Alikuwa mtoro sana, kufika kwake asubuhi ilikuwa iwe ushahidi tu kafika, saa nne ikifika ashasepa
2. Alikuwa mhuni huyu bwana, Form 2 alianza kuvuta bangi na form 3 alianza kuuza kabisa shuleni
3. Yeye na wenzake waliwahi kupewa suspension kwa kumpiga Mwalimu (jamaa alikuwa anapiga chuma), pia kutuhumiwa kufoji risiti ya ada
4. Kwenye Mapenzi huku kavunja mioyo ya mabinti wengi, alikuwa playboy.
5. Alikuwa kiongozi wa kundi bovu, wengi walitimuliwa ila yeye akili zilimlinda kuendelea kubaki
5. Waliojaribu kumwiga walifeli
6. Alipenda sana kusoma vitabu, hata aumwe huyu bwana kwake kusoma vitabu ilikuwa kama chakula, sizungumzii vitabu hivi vya darasani, ni vitabu vya elim binafsi
Leo hii atika pita pita zangu nilkutana na rafiki yangu flani wa sekondari, sasa katika mazungumzo ya nani yupo wapi anafanya nini, nilipigwa na butwaa ambalo hadi sasa ivi naona ni kama mujiza, Huyo bwana mtundu hapo juu saizi ana kazi nzuri tu katika moja ya taasisi kubwa ya serikali.
Tulipomaliza form 4 huyo bwana, huko form 6 alizidi utundu wake kufikia steji ya kuhama shule 3, biashara yake hio alianza kufata mzigo Arusha na akawa anauza mtaani na shuleni, ila akafaulu na divishen 1 ya 5 na kuongozea shule aliyosoma, na hioo shul wanadhani alinunu mtihani.
Akachaguliwa chuo safi tu kwa huo ufaulu wake, Na huko kwa uhuru aliopata nadhani unaweza kujenga picha, ila alihitimu kwa G.P.A ya 4.7 (first class), alipata kazi kiulaini sana, alipoenda kuendelea na masters alipomaliza matokeo yake yalimbeba zaidi saizi ana kazi nzuri tu, Mbali na hapo pia ana miradi halali.
Kwa sasa ni mtu aliebadilika sana kuwa miongoni mwa watu ambao ni mifano ya kuigwa, hana makuu wala vurugu, kawa mcha Mungu, watu wake wa karibu wanasema kaacha kuvuta bangi ila hunywa pombe mara chache sana, ni baba wa familia inayoishi vizuri kimaadili, n.k
Siku hizi kaacha ishu zake hizi nadhani yalikuwa mambo ya ujana ila bado najiuliza huyu ni mtu kweli?
Nahisi bangi ina siri kubwa ambayo hatuifahamu. Kuna wengine ina wakubali in a positive way ila wengi ina waharibu.Kuna mtandao unaitwa reddit nilikuta kuna mada ya kuzungumzia watu ambao walionekana miyeyusho ila wakapindua meza.
Jamaa mmoja akasema alijiunga shule ya muziki, katika hiyo shule kuna mwanafunzi alikua haiingii darasani, ni mvuta bangi muda wote yupo high. Lakini ikitolewa assignment labda ya kuandika ushairi au kutungia beat shairi fulani mara zote mshkaji alikua anaongoza darasa. Isipokua alikua mtulivu, mkimya, hana makuu na hana muonekano wa kisupastaa.
Huyo jamaa ndiye Ed Sheeran tumuonaye leo.
Bismarck ni jirani na shule niliyosoma Mimi IslamiyaBismarck Secondary School Mwanza 2004 kuna mtu alikuwa anaitwa ZERO
Sampuli hiyo hiyo ya jamaa sijui sasa hivi yuko wapi
Mkuu hio 1 ya 5 kwenye shule za kawaida kuipata si shughuli ndogona hioo shul wanadhani alinunua mtihani.hapa ndipo ulipoharibu stori,yani mtu waliyesoma nae ,maana yake kafanya nao mitiani mingi ya shule na atakua kawaburuza kama alivyokuwa anawaburuza nyinyi,sasa inakuwaje wadhani kaiba mtihani baada ya kupata 1.5
Bangi ina guidance na quality zakeNahisi bangi ina siri kubwa ambayo hatuifahamu. Kuna wengine ina wakubali in a positive way ila wengi ina waharibu.
Inategemea na kichwa cha mtu..
Naamini hivyo pia, tatizo Kuna watu bangi imewakataa lkn wanalazimisha, hapo ndo mtu unaonekana muhuniBangi ina guidance na quality zake
Pia ni usefull sana kwa watu potential wenye motives
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duh!!!alikua ni chalii wa moshi. Akikosa pombe anatetemeka mwili mzima. Malaya wote wa shivaz walikua wanamjua. Akilewa tu kama hamna pindi anaenda kusumbuana nao huko. Ila alikua anajua sana mathematics yule jamaa.
Nahisi bangi ina siri kubwa ambayo hatuifahamu. Kuna wengine ina wakubali in a positive way ila wengi ina waharibu.
Inategemea na kichwa cha mtu..
Bangi ina guidance na quality zake
Pia ni usefull sana kwa watu potential wenye motives
Kama Ed ana smoke weed mi nina niikatae
Kuna mtandao unaitwa reddit nilikuta kuna mada ya kuzungumzia watu ambao walionekana miyeyusho ila wakapindua meza.
Jamaa mmoja akasema alijiunga shule ya muziki, katika hiyo shule kuna mwanafunzi alikua haiingii darasani, ni mvuta bangi muda wote yupo high. Lakini ikitolewa assignment labda ya kuandika ushairi au kutungia beat shairi fulani mara zote mshkaji alikua anaongoza darasa. Isipokua alikua mtulivu, mkimya, hana makuu na hana muonekano wa kisupastaa.
Huyo jamaa ndiye Ed Sheeran tumuonaye leo.
Bangi inasiri kubwa sana bangi inafikirisha mambo ambayo ukiwa katika akili za kawaida hauwezi yafikiri... Shida kubwa ya bangi ambayo inawakumba wengi tabia ya kusahau vitu vidogo vidogo kwa muda fulani ile hali mara umesahau funguo umeiweka wapi au simu nkKwenye bangi hapo kuna siri kubwa.
Kama ni genius hahitaji muda mrefu wa kukariri, yeye anasoma kama hadithi na anaelewa moja kwa moja alichosomaHuyu Bwana alikuwa anatukimbiza vibaya mno darasani, form 4 alipiga division 1 ya 11 ya enzi hizo kabla ya 2010, (zilikuwa adimu mno), shule ilikuwa haijawahi kupata mtu aliefaulu kwa ufaulu huu, shule ilikuwa ya kawaida sana
Siffa za huyu mtu
1. Alikuwa mtoro sana, kufika kwake asubuhi ilikuwa iwe ushahidi tu kafika, saa nne ikifika ashasepa
2. Alikuwa mhuni huyu bwana, Form 2 alianza kuvuta bangi na form 3 alianza kuuza kabisa shuleni
3. Yeye na wenzake waliwahi kupewa suspension kwa kumpiga Mwalimu (jamaa alikuwa anapiga chuma), pia kutuhumiwa kufoji risiti ya ada
4. Kwenye Mapenzi huku kavunja mioyo ya mabinti wengi, alikuwa playboy.
5. Alikuwa kiongozi wa kundi bovu, wengi walitimuliwa ila yeye akili zilimlinda kuendelea kubaki
5. Waliojaribu kumwiga walifeli
6. Alipenda sana kusoma vitabu, hata aumwe huyu bwana kwake kusoma vitabu ilikuwa kama chakula, sizungumzii vitabu hivi vya darasani, ni vitabu vya elim binafsi
Leo hii atika pita pita zangu nilkutana na rafiki yangu flani wa sekondari, sasa katika mazungumzo ya nani yupo wapi anafanya nini, nilipigwa na butwaa ambalo hadi sasa ivi naona ni kama mujiza, Huyo bwana mtundu hapo juu saizi ana kazi nzuri tu katika moja ya taasisi kubwa ya serikali.
Tulipomaliza form 4 huyo bwana, huko form 6 alizidi utundu wake kufikia steji ya kuhama shule 3, biashara yake hio alianza kufata mzigo Arusha na akawa anauza mtaani na shuleni, ila akafaulu na divishen 1 ya 5 na kuongozea shule aliyosoma, na hioo shule walidhani alinunu mtihani, Nakumbusga tena enzi hizo hii divisiin 1 ya 5 ilikuwa nadra hasa kwenye shule aliyosoma ya kawaida