Siasa hatari sana lo
Gentleman,Serikali ya CCM ,inalala na viatu, inahaha, kila mbinu chafu wakileta unashindwa kuuzima moto wa No reforms No election.
Hapa kila Mtanzania anaimba , huu wimbo, "CCM wanaimbia kimoyoyo" , mpaka viongozi wa dini mashekhe, mapadirii,wachungaji, maskofu, yaani kila kona ya nchi ni No reforms No election,
Hehe ndo anachochea kuni moto wa kuni fulani mbeya zinaitwa "eengote" Tulia Askon anazifahamu.hizo kuni ni balaaa kwa moto , "Heche ni eengote"
Mungu ibariki CHADEMA, Mungu ibariki Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
Anayeitekeleza ndo anaakili sanaSerikali ya CCM ,inalala na viatu, inahaha, kila mbinu chafu wakileta unashindwa kuuzima moto wa No reforms No election.
Hapa kila Mtanzania anaimba , huu wimbo, "CCM wanaimbia kimoyoyo" , mpaka viongozi wa dini mashekhe, mapadirii,wachungaji, maskofu, yaani kila kona ya nchi ni No reforms No election,
Hehe ndo anachochea kuni moto wa kuni fulani mbeya zinaitwa "eengote" Tulia Askon anazifahamu.hizo kuni ni balaaa kwa moto , "Heche ni eengote"
Mungu ibariki CHADEMA, Mungu ibariki Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
Kuna Yale mawe barabara ya Dodoma singida hasa kuanzia bahi ntunku,manyoni,isuna,ikungi,puma Yale mawe yanafaa kuandikwa no reforms no electionIBANDIKWE KILA KONA YA NCHI KILA MAHALI HADI KWENYE MADARAJA POPOTE PALE
Masikini huyo hata hajitambui anajiharishia tuGentleman wewe nafsi Yako , umeshaiuza mda mrefu, hapo hapo ulipo haujiuwi, Rushwa imekupofusha akili
Nakubaliana na wewe, lakini kumbuka 'slogan' hiyo ni matokeo ya "idea', (wazo); la kutoshiriki, au kuzuia uchaguzi; likatengenezewa mpangilio huo unao uona na kuusifu wakati huu.Serikali ya CCM ,inalala na viatu, inahaha, kila mbinu chafu wakileta unashindwa kuuzima moto wa No reforms No election.
Hapa kila Mtanzania anaimba , huu wimbo, "CCM wanaimbia kimoyoyo" , mpaka viongozi wa dini mashekhe, mapadirii,wachungaji, maskofu, yaani kila kona ya nchi ni No reforms No election,
Hehe ndo anachochea kuni moto wa kuni fulani mbeya zinaitwa "eengote" Tulia Askon anazifahamu.hizo kuni ni balaaa kwa moto , "Heche ni eengote"
Mungu ibariki CHADEMA, Mungu ibariki Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
huna haja ya kubababika na nafasi ya mwingine gentleman.Gentleman wewe nafsi Yako , umeshaiuza mda mrefu, hapo hapo ulipo haujiuwi, Rushwa imekupofusha akili
Alitunga Mbowe sema yeye alikuwa anatania tu mara ghafla watu wakapita nayo seriousGentleman,
naona kama ni ulofa kubuni kitu kisicho na faida na kukisifu π
huna haja ya kubababika na nafasi ya mwingine gentleman.
hebu waelezee wadau kwa kifupi tu, faida mbili tu za hiyo nonsense ya no reform no elections, na kwakweli it
Inapinga uwizi wa kura, inagandisha uzalendo, inapinga serikali ya kidikt eta, inapinga mafisadi, inapinga utekaji, kua watu, nk, sema nn gentleman ,wewe umeamua kuuza nafsi Yako ,hata hivyo sikulaumu,kuna siku utaenda kuidai na utapata akili upyahuna haja ya kubababika na nafasi ya mwingine gentleman.
hebu waelezee wadau kwa kifupi tu, faida mbili tu za hiyo nonsense ya no reform no elections, na kwakweli itapendeza zaidi π
hawakujua moja ya hasara yake ni pamoja na wanachama kujiengua na kuikimbia chadema.Alitunga Mbowe sema yeye alikuwa anatania tu mara ghafla watu wakapita nayo serious
Mbowe aliianda hii slogan Kama chambo angeshinda uenyekiti iliwapige pesa ndefu nawale njaa55 toka CCM ndo maana wamekuwa na hasira sanaAlitunga Mbowe sema yeye alikuwa anatania tu mara ghafla watu wakapita nayo serious