Huyu mtu aliyebuni slogani ya "No reforms No election" ndani ya CHADEMA ana akili sana, tumpe maua yake!

Gentleman,
naona kama ni ulofa kubuni kitu kisicho na faida na kukisifu 🐒

Mpaka sasa wewe umepata hasara gani ?

Maana Mbowe aliwahi kusema Samia MUST Go japo kisheria ule ulikua ndio uhaini maana alitaka kumtoa Rais madarakani lakini hakuna kundi ndani ya Chama lililojitenga na kufanya usaliti . Na hata alipokamatwa wote walimuunga mkono na kumpigania mpaka akatoka . Leo ndio utaona wale G55 wanawaza vyeo tu wakati wao hawajawahi hata kukaa mahabusu ya polisi lakini wanaonyesha roho mbaya zaidi kwa kushindwa hata kujali kuwa Mapadri wa Kanisa katoliki wanataka kuuawa .Wanamsikiliza Salimu Mwalimu Mzanzibari mwenye chuki na ukristo kuliko hata shetani . Mtu aliyekulia sehemu ambayo Mkristo kuishi ni kama Mbuzi katikati ya msitu wenye Chui.
John Ramadhani alikua ni Mkristo Pekee aliyekua na wadhifa kule Zanzibar lakini aliresti In pisi kiajabu ajabu , Charles Hilari sijui kwa nini nawaza sana kuhusu Charles Hilari na masuala ya kiroho .

Mtu mpenda haki ,utu na usawa Kumfuata Salumu Mwalimu ni sawa na kuhalalisha hati ya kifo kwa maaskofu wote Tanzania . Ni mtu mwenye chuki kubwa sana .

Kama kuna Mkatoliki kwenye ile G55 niwaombe tu kanisa limtenge kabisa maana pale ndipo uasi mkuu utakapofanyika maana ahadi ya kupewa vyeo na ubunge unaendana na kazi ya kuua na kuzima sauti ya kanisa kukemea dhambi ya kuua ,kutesa , kushitaki watu kwa uongo na kuiba kura na kuonea watu wasio na hatia .

G55 ni kundi baya kuliko kitu chochote . Litatumika kusambaza rushwa ndani ya makanisa ,vyama vya siasa ,wafanya Biashara hasa wa Arusha na Mbeya na hata kuua wale watakaokataa kushirikiana nao kuivuruga Chadema .

Salim Mwalimu kazi yake ni kupambana na waislam wenye msimamo mkali wa kutetea haki ili wamuunge mkono Mitano tena . Watafanyiwa alichofanyiwa Ally Kibao .
Hapa ni kumuomba Mungu tu aamue ugomvi huu ili Wanyonge wapate haki ya kupiga kura kuchagua viongozi wanaowataka na kutangazwa bila kuuawa au kupigwa au kufungwa.
 
Serikali ya CCM ,inalala na viatu, inahaha, kila mbinu chafu wakileta unashindwa kuuzima moto wa No reforms No election.

Hapa kila Mtanzania anaimba , huu wimbo, "CCM wanaimbia kimoyoyo" , mpaka viongozi wa dini mashekhe, mapadirii,wachungaji, maskofu, yaani kila kona ya nchi ni No reforms No election,

Hehe ndo anachochea kuni moto wa kuni fulani mbeya zinaitwa "eengote" Tulia Askon anazifahamu.hizo kuni ni balaaa kwa moto , "Heche ni eengote"

Mungu ibariki CHADEMA, Mungu ibariki Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
Nipo hapa nacheeeeka!
 
Mi nashauri mpe mkeo kabisa!! Maana umezidi kuwa lafa.
 
Serikali ya CCM ,inalala na viatu, inahaha, kila mbinu chafu wakileta unashindwa kuuzima moto wa No reforms No election.

Hapa kila Mtanzania anaimba , huu wimbo, "CCM wanaimbia kimoyoyo" , mpaka viongozi wa dini mashekhe, mapadirii,wachungaji, maskofu, yaani kila kona ya nchi ni No reforms No election,

Hehe ndo anachochea kuni moto wa kuni fulani mbeya zinaitwa "eengote" Tulia Askon anazifahamu.hizo kuni ni balaaa kwa moto , "Heche ni eengote"

Mungu ibariki CHADEMA, Mungu ibariki Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
Hapa kila Mtanzania anaimba , huu wimbo, "CCM wanaimbia kimoyoyo" , mpaka viongozi wa dini mashekhe, mapadirii,wachungaji, maskofu, yaani kila kona ya nchi ni No reforms No election
 
Mpaka sasa wewe umepata hasara gani ?

Maana Mbowe aliwahi kusema Samia MUST Go japo kisheria ule ulikua ndio uhaini maana alitaka kumtoa Rais madarakani lakini hakuna kundi ndani ya Chama lililojitenga na kufanya usaliti . Na hata alipokamatwa wote walimuunga mkono na kumpigania mpaka akatoka . Leo ndio utaona wale G55 wanawaza vyeo tu wakati wao hawajawahi hata kukaa mahabusu ya polisi lakini wanaonyesha roho mbaya zaidi kwa kushindwa hata kujali kuwa Mapadri wa Kanisa katoliki wanataka kuuawa .Wanamsikiliza Salimu Mwalimu Mzanzibari mwenye chuki na ukristo kuliko hata shetani . Mtu aliyekulia sehemu ambayo Mkristo kuishi ni kama Mbuzi katikati ya msitu wenye Chui.
John Ramadhani alikua ni Mkristo Pekee aliyekua na wadhifa kule Zanzibar lakini aliresti In pisi kiajabu ajabu , Charles Hilari sijui kwa nini nawaza sana kuhusu Charles Hilari na masuala ya kiroho .

Mtu mpenda haki ,utu na usawa Kumfuata Salumu Mwalimu ni sawa na kuhalalisha hati ya kifo kwa maaskofu wote Tanzania . Ni mtu mwenye chuki kubwa sana .

Kama kuna Mkatoliki kwenye ile G55 niwaombe tu kanisa limtenge kabisa maana pale ndipo uasi mkuu utakapofanyika maana ahadi ya kupewa vyeo na ubunge unaendana na kazi ya kuua na kuzima sauti ya kanisa kukemea dhambi ya kuua ,kutesa , kushitaki watu kwa uongo na kuiba kura na kuonea watu wasio na hatia .

G55 ni kundi baya kuliko kitu chochote . Litatumika kusambaza rushwa ndani ya makanisa ,vyama vya siasa ,wafanya Biashara hasa wa Arusha na Mbeya na hata kuua wale watakaokataa kushirikiana nao kuivuruga Chadema .

Salim Mwalimu kazi yake ni kupambana na waislam wenye msimamo mkali wa kutetea haki ili wamuunge mkono Mitano tena . Watafanyiwa alichofanyiwa Ally Kibao .
Hapa ni kumuomba Mungu tu aamue ugomvi huu ili Wanyonge wapate haki ya kupiga kura kuchagua viongozi wanaowataka na kutangazwa bila kuuawa au kupigwa au kufungwa.
mtu makini kama mimi, mchapakazi hodari mwenye maono, mtaaamu muaandamizi wa masuala ya kisiasa, mtumishi wa wananchi, mfanyibiashara, muhadhiri mwandamizi wa kitaifa na kimataifa, mkulima na apostle siwezi kupata hasara yoyote Tanazania bali nasonga mbele vizur zaidi na ndio maana naeleza mambo haya ya msingi kwa ujasiri na uhakika, katika ukweli wa kiwango cha juu sana.

hua sibabaiki sana na porojo za watakatifu malofa wanaojiona kua bora zaidi ya wengine gentleman 🐒
 
Nakubaliana na wewe, lakini kumbuka 'slogan' hiyo ni matokeo ya "idea', (wazo); la kutoshiriki, au kuzuia uchaguzi; likatengenezewa mpangilio huo unao uona na kuusifu wakati huu.

Tuanzie kwenye 'idea' (wazo) lilibuniwa lini na wapi.

Ukitafuta ndani ya JF; kwenye jukwaa hili hili la siasa, unaweza kupata ni wapi wazo hilo lilianza kupendekezwa.
Mm najua ni chadema mkuu,
 
Serikali ya CCM ,inalala na viatu, inahaha, kila mbinu chafu wakileta unashindwa kuuzima moto wa No reforms No election.

Hapa kila Mtanzania anaimba , huu wimbo, "CCM wanaimbia kimoyoyo" , mpaka viongozi wa dini mashekhe, mapadirii,wachungaji, maskofu, yaani kila kona ya nchi ni No reforms No election,

Hehe ndo anachochea kuni moto wa kuni fulani mbeya zinaitwa "eengote" Tulia Askon anazifahamu.hizo kuni ni balaaa kwa moto , "Heche ni eengote"

Mungu ibariki CHADEMA, Mungu ibariki Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
Unaweza kuta ilibuniwa na Kigaila, Mrema au hao njaa55 waliojitoa, walidhani haitakuwa serious
 
Serikali ya CCM ,inalala na viatu, inahaha, kila mbinu chafu wakileta unashindwa kuuzima moto wa No reforms No election.

Hapa kila Mtanzania anaimba , huu wimbo, "CCM wanaimbia kimoyoyo" , mpaka viongozi wa dini mashekhe, mapadirii,wachungaji, maskofu, yaani kila kona ya nchi ni No reforms No election,

Hehe ndo anachochea kuni moto wa kuni fulani mbeya zinaitwa "eengote" Tulia Askon anazifahamu.hizo kuni ni balaaa kwa moto , "Heche ni eengote"

Mungu ibariki CHADEMA, Mungu ibariki Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
Kauli hii inaitesa CDM. Walio ibuni walikuwa na maana tofauti.

Hawa wa sasa wanatafuta huruma ya wananchi bila wananchi CDM inazama huu mwaka.
 
Serikali ya CCM ,inalala na viatu, inahaha, kila mbinu chafu wakileta unashindwa kuuzima moto wa No reforms No election.

Hapa kila Mtanzania anaimba , huu wimbo, "CCM wanaimbia kimoyoyo" , mpaka viongozi wa dini mashekhe, mapadirii,wachungaji, maskofu, yaani kila kona ya nchi ni No reforms No election,

Hehe ndo anachochea kuni moto wa kuni fulani mbeya zinaitwa "eengote" Tulia Askon anazifahamu.hizo kuni ni balaaa kwa moto , "Heche ni eengote"

Mungu ibariki CHADEMA, Mungu ibariki Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
Alikuwa Ben Kigaila, lakini maono yake yamechakachuliwa na waliopo!
 
Hiyo slogan ilibuniwa na wananchi wenyewe,

Fuatilia comment zetu humu tangu 2022 June,

" Bila TUME HURU YA UCHAGUZI na KATIBA mpya, uchaguzi UTAYEYUKA".

Na ndio hasa msingi wa NO REFORMS NO ELECTION.
 
Hiyo slogan copy na paste kenya sio ngeni...baada ya mahakama kutengua uteuzi wa kenyatta ,odinga alikuja na hiyo slogan...alisusia uchaguzi na kuzuia usifanyike lakini uchaguzi ulifanyika ...slogan hiyo kama kenya haikuwork hapa bongo haiwezi ..CCM Watashiriki na watashinda maisha yataendelea ..baada ya muda kila kitu kitapoa na chadema kitakuwa hakina mbunge wala no ruzuku
 
Back
Top Bottom