Huyu mtu aliyebuni slogani ya "No reforms No election" ndani ya CHADEMA ana akili sana, tumpe maua yake!

Huyu mtu aliyebuni slogani ya "No reforms No election" ndani ya CHADEMA ana akili sana, tumpe maua yake!

Sawakuu
Nakubaliana na wewe, lakini kumbuka 'slogan' hiyo ni matokeo ya "idea', (wazo); la kutoshiriki, au kuzuia uchaguzi; likatengenezewa mpangilio huo unao uona na kuusifu wakati huu.

Tuanzie kwenye 'idea' (wazo) lilibuniwa lini na wapi.

Ukitafuta ndani ya JF; kwenye jukwaa hili hili la siasa, unaweza kupata ni wapi wazo hil
hawakujua moja ya hasara yake ni pamoja na wanachama kujiengua na kuikimbia chadema.

na hii inatufundisha kuepuka kuiga vitu kichwa kichwa 🐒
Hao waliokimbia, ni mataoeli wa siasa,
 
IBANDIKWE KILA KONA YA NCHI KILA MAHALI HADI KWENYE MADARAJA POPOTE PALE
Subiri kidogo.
Wakati wa mahsusi wa kufanya hivyo uwe ni sehemu ya mkakati mzima wa Kampeni, kuwazubaisha CCM; na kuwasisimua wananchi.
Timing is everything.
 
Ngoja
Subiri kidogo.
Wakati wa mahsusi wa kufanya hivyo uwe ni sehemu ya mkakati mzima wa Kampeni, kuwazubaisha CCM; na kuwasisimua wananchi.
Timing is everything.
Kabisa mkuu, slogan ipo vzr sana
 
Inapinga uwizi wa kura, inagandisha uzalendo, inapinga serikali ya kidikt eta, inapinga mafisadi, inapinga utekaji, kua watu, nk, sema nn gentleman ,wewe umeamua kuuza nafsi Yako ,hata hivyo sikulaumu,kuna siku utaenda kuidai na utapata akili upya
ama kwa hakika kwenye miti mingi hakuna wajenzi na ili usivune mabua ni vizuri kumuachia nyani alinde shamba la mahindi right gentleman?

kwamba chadema kukimbiwa na wanachama wake sio faida gentleman?🐒
 
Gentleman hao waliokimbia ni wezi, ndo maana wameenda kwa wezi wezao, sasa chadema chini lisu ni moto wa engote
 
Serikali ya CCM ,inalala na viatu, inahaha, kila mbinu chafu wakileta unashindwa kuuzima moto wa No reforms No election.

Hapa kila Mtanzania anaimba , huu wimbo, "CCM wanaimbia kimoyoyo" , mpaka viongozi wa dini mashekhe, mapadirii,wachungaji, maskofu, yaani kila kona ya nchi ni No reforms No election,

Hehe ndo anachochea kuni moto wa kuni fulani mbeya zinaitwa "eengote" Tulia Askon anazifahamu.hizo kuni ni balaaa kwa moto , "Heche ni eengote"

Mungu ibariki CHADEMA, Mungu ibariki Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
Kwa lugha nyepesi tunasema No reform No Election ni sawa na mtu kukalia mtalimbo kadiri unavyohangaika kujitikisa basi unazidi kumuingia ila pia akitulia pia unamuingia vizuri sasa uchaguzi ni wake ahangaike umuingie kwa mateso au atulie iingie taratibu akiisikilizia.

"NO REFORM NO ELECTION "
 
Kabisa mkuu, ccm wameishia mbinu zote saizi, wanalia
 
Attachments

  • images (28).jpeg
    images (28).jpeg
    56.2 KB · Views: 13
  • Ewmab75WYAU9SNW.jpg
    Ewmab75WYAU9SNW.jpg
    31.1 KB · Views: 23
  • images (27).jpeg
    images (27).jpeg
    72.2 KB · Views: 15
  • images (26).jpeg
    images (26).jpeg
    87.2 KB · Views: 23
Gentleman hao waliokimbia ni wezi, ndo maana wameenda kwa wezi wezao, sasa chadema chini lisu ni moto wa engote
moto unao waka na kuteketeza nyumba yake yenyewe right?

Nadhani ni somo kwetu sote kuhusu madhara ya uropokaji wa kilofa na ubinafsi 🐒
 
Back
Top Bottom