Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,371
- 28,790
Mungu awape upofu hata wapoteane na kupotea kabisa.CCM hakuna wenye maarifa tena.
Mungu awape upofu hata wapoteane na kupotea kabisa.CCM hakuna wenye maarifa tena.
Umemkumbusha vyema,Nakubaliana na wewe, lakini kumbuka 'slogan' hiyo ni matokeo ya "idea', (wazo); la kutoshiriki, au kuzuia uchaguzi; likatengenezewa mpangilio huo unao uona na kuusifu wakati huu.
Tuanzie kwenye 'idea' (wazo) lilibuniwa lini na wapi.
Ukitafuta ndani ya JF; kwenye jukwaa hili hili la siasa, unaweza kupata ni wapi wazo hilo lilianza kupendekezwa.
Ni kweli mkuuHayo mawe ya manyoni ndo yanafaa yaandikwe no reforms no election
Gentleman,
naona kama ni ulofa kubuni kitu kisicho na faida na kukisifu 🐒
Bahati mbaya zinatumika nguvu zaidi kupambana na tatizo lililosababishwa kwa akili nyingiSerikali ya CCM ,inalala na viatu, inahaha, kila mbinu chafu wakileta unashindwa kuuzima moto wa No reforms No election.
Hapa kila Mtanzania anaimba , huu wimbo, "CCM wanaimbia kimoyoyo" , mpaka viongozi wa dini mashekhe, mapadirii,wachungaji, maskofu, yaani kila kona ya nchi ni No reforms No election,
Hehe ndo anachochea kuni moto wa kuni fulani mbeya zinaitwa "eengote" Tulia Askon anazifahamu.hizo kuni ni balaaa kwa moto , "Heche ni eengote"
Mungu ibariki CHADEMA, Mungu ibariki Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
Hili wazo KamaIBANDIKWE KILA KONA YA NCHI KILA MAHALI HADI KWENYE MADARAJA POPOTE PALE
CHADEMA ni watu mmojammoja. Na hata wasiokuwa ndani ya CHADEMA wote wana michango ya mawazo; kila mmoja wao.Mm najua ni chadema mkuu,
Serikali ya CCM ,inalala na viatu, inahaha, kila mbinu chafu wakileta unashindwa kuuzima moto wa No reforms No election.
Hapa kila Mtanzania anaimba , huu wimbo, "CCM wanaimbia kimoyoyo" , mpaka viongozi wa dini mashekhe, mapadirii,wachungaji, maskofu, yaani kila kona ya nchi ni No reforms No election,
Hehe ndo anachochea kuni moto wa kuni fulani mbeya zinaitwa "eengote" Tulia Askon anazifahamu.hizo kuni ni balaaa kwa moto , "Heche ni eengote"
Mungu ibariki CHADEMA, Mungu ibariki Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
yaani katika watu wapumbavu huyu ni wa kwanza anakiua chama hivihivi na wajinga wengine wanasaport kweliii chadema ina wajinga watupuSerikali ya CCM ,inalala na viatu, inahaha, kila mbinu chafu wakileta unashindwa kuuzima moto wa No reforms No election.
Hapa kila Mtanzania anaimba , huu wimbo, "CCM wanaimbia kimoyoyo" , mpaka viongozi wa dini mashekhe, mapadirii,wachungaji, maskofu, yaani kila kona ya nchi ni No reforms No election,
Hehe ndo anachochea kuni moto wa kuni fulani mbeya zinaitwa "eengote" Tulia Askon anazifahamu.hizo kuni ni balaaa kwa moto , "Heche ni eengote"
Mungu ibariki CHADEMA, Mungu ibariki Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
Sema kweli!!?Hata Msukuma leo amepost clip anaimba NO REFORMS NO ELECTION akiwa kwenye daraja la Bisisi
Hahahhahahaha wote ni Wale wale hakuna mwenye ako na nafuuCCM hakuna wenye maarifa tena.
Inalazimisha serikali kuwajibikahuna haja ya kubababika na nafasi ya mwingine gentleman.
hebu waelezee wadau kwa kifupi tu, faida mbili tu za hiyo nonsense ya no reform no elections, na kwakweli itapendeza zaidi 🐒