Huyu mtu aliyebuni slogani ya "No reforms No election" ndani ya CHADEMA ana akili sana, tumpe maua yake!

Sawakuu
hawakujua moja ya hasara yake ni pamoja na wanachama kujiengua na kuikimbia chadema.

na hii inatufundisha kuepuka kuiga vitu kichwa kichwa πŸ’
Hao waliokimbia, ni mataoeli wa siasa,
 
IBANDIKWE KILA KONA YA NCHI KILA MAHALI HADI KWENYE MADARAJA POPOTE PALE
Subiri kidogo.
Wakati wa mahsusi wa kufanya hivyo uwe ni sehemu ya mkakati mzima wa Kampeni, kuwazubaisha CCM; na kuwasisimua wananchi.
Timing is everything.
 
Ngoja
Subiri kidogo.
Wakati wa mahsusi wa kufanya hivyo uwe ni sehemu ya mkakati mzima wa Kampeni, kuwazubaisha CCM; na kuwasisimua wananchi.
Timing is everything.
Kabisa mkuu, slogan ipo vzr sana
 
Inapinga uwizi wa kura, inagandisha uzalendo, inapinga serikali ya kidikt eta, inapinga mafisadi, inapinga utekaji, kua watu, nk, sema nn gentleman ,wewe umeamua kuuza nafsi Yako ,hata hivyo sikulaumu,kuna siku utaenda kuidai na utapata akili upya
ama kwa hakika kwenye miti mingi hakuna wajenzi na ili usivune mabua ni vizuri kumuachia nyani alinde shamba la mahindi right gentleman?

kwamba chadema kukimbiwa na wanachama wake sio faida gentleman?πŸ’
 
Gentleman hao waliokimbia ni wezi, ndo maana wameenda kwa wezi wezao, sasa chadema chini lisu ni moto wa engote
 
Kwa lugha nyepesi tunasema No reform No Election ni sawa na mtu kukalia mtalimbo kadiri unavyohangaika kujitikisa basi unazidi kumuingia ila pia akitulia pia unamuingia vizuri sasa uchaguzi ni wake ahangaike umuingie kwa mateso au atulie iingie taratibu akiisikilizia.

"NO REFORM NO ELECTION "
 
Kabisa mkuu, ccm wameishia mbinu zote saizi, wanalia
 
Attachments

  • images (28).jpeg
    56.2 KB · Views: 13
  • Ewmab75WYAU9SNW.jpg
    31.1 KB · Views: 23
  • images (27).jpeg
    72.2 KB · Views: 15
  • images (26).jpeg
    87.2 KB · Views: 23
Gentleman hao waliokimbia ni wezi, ndo maana wameenda kwa wezi wezao, sasa chadema chini lisu ni moto wa engote
moto unao waka na kuteketeza nyumba yake yenyewe right?

Nadhani ni somo kwetu sote kuhusu madhara ya uropokaji wa kilofa na ubinafsi πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…