Huyu mtu aliyebuni slogani ya "No reforms No election" ndani ya CHADEMA ana akili sana, tumpe maua yake!

Umemkumbusha vyema,

Tulipoanza kudai katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi tukisema,

"Bila TUME HURU YA UCHAGUZI na KATIBA mpya uchaguzi UTAYEYUKA"

Wengi humu walitudhihaki na kutuita vichaa.

Mawazo na ideas na mwelekeo wa vyama vyote hutoka kwa wananchi,

Na huu uungwaji mkono wa Wananchi sasa, ni ishara kuwa idea hii imetokea kwa wananchi.

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿.

Amin
 
Bahati mbaya zinatumika nguvu zaidi kupambana na tatizo lililosababishwa kwa akili nyingi
 
 
yaani katika watu wapumbavu huyu ni wa kwanza anakiua chama hivihivi na wajinga wengine wanasaport kweliii chadema ina wajinga watupu
 
CHADEMA ni watu mmojammoja. Na hata wasiokuwa ndani ya CHADEMA wote wana michango ya mawazo; kila mmoja wao.
Upo sahihi mkuu, chama ni cha wananchi wote, hii slogani ni ya chadema
 
Ni agenda pia itakayorudisha hadhi, ya mpiga kura endapo itafanikiwa.

Aidha, itawafanya viongozi wawajibike kwa kutotimiza ahadi zao.
 
huna haja ya kubababika na nafasi ya mwingine gentleman.

hebu waelezee wadau kwa kifupi tu, faida mbili tu za hiyo nonsense ya no reform no elections, na kwakweli itapendeza zaidi 🐒
Inalazimisha serikali kuwajibika

inaleta mabadiliko ya kudumu kwa faida ya Taifa

inaamsha uelewa wa wananchi kuhusu demokrasia.

inalinda haki ya kupiga kura kwa uhuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…