Huyu mtu aliyebuni slogani ya "No reforms No election" ndani ya CHADEMA ana akili sana, tumpe maua yake!



Ni kweli .
Mbowe na uongozi wake wote wakati huo ndio waliobuni hiyo slogani.
Ndio maana roho inawauma sana kuona slogani yao imewapa jina kubwa na heshima kubwa sana Watu wengine waliochukua uongozi wa chama.

Of course mbowe ni smart sana kwenye siasa .
Lakni alipaswa kushirikiana na Uongozi mpya kwa udi na uvumba ili kuhakikisha haki inapatikana . Lakini kwa alichofanya mbowe cha kukaa kimya na chama kikagawanyika ameharibu sana CV yake kama JPM na kuvuruga uchaguzi mwaka 2019/2020.

Potelea mbali angeenda hata kwenye Kesi ya Mwenyekiti wake wa chama?
Au pia angezunguka naye kumtambulisha mwenyekiti mpya aliyemkabidhi kijiti kwa kura .

Slogani ya NRNE ni nduri ila busara ilitakiwa ifanyike kuepuka maneno yasiyoeleweka kwa wasio wanasiasa au wapotoshaji.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…