Uchaguzi 2020 Huyu mtu anaweza kuchukua hii nchi au anaweza kusababisha mambo yatakayosababisha mageuzi kutokea katika hii nchi

Lissu nchi anachukua bila chenga ondoa neno anaweza pamoja na kukubalika ujasili uwezo wa kujenga hoja alionao lissu ccm wamemrahisishia kazi kwa sera zao mbaya nisawa na mtu kuwasha moto kwenye majani makavu Watanzania tulikua nahamu ya kupata mgombea uraisi mwenye sifa kama za Lissu Tangu tupate uhuru ni yeye ondoa shaka .
 
Usisahau pia kuwa ndo zimejenga uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini kwa magufuli Chato, zimetumika kufungua hifadhi na Lodges kijijini kwa magufuli Chato na Pia zimetumika kuwanunua wabunge na madiwani wa upinzani
 
Majimbo zaidi ya kumi ambayo CHADEMA imeishashinda kabla ya Uchaguzi:
1. Hai
2. Arusha
3. Moshi
4. Mbeya mjini
5. Singida Kaskazini
6. Singida Mashariki
7. Tunduma
8. Iringa Mjini
9. Kawe
10. Ubungo
11.
 
Ndo mnavyodanganyana kuwa mtaji wa siasa ni watu na sio vitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], watanzania wameshachoka na maneno waliyokuwa wanapewa zaman wanataka vitu vinavyoonekana na kwa vitendo bro.
Nani kasema wamechoka??? Sema wanewachoka nyie kwa kupeleka fedha zao kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini Chato!
 
Umetaja mawili tu! Pia anaweza kushindwa vibaya sana.
 

Hoja yako ni nini hapa we dogo?
 

Mkuu ww una degree?! Sitaki kuamini kuwa elimu yetu imekuwa ya kipuuzi hivi. Nimefedheheka sana, sujutii kutokumaliza elimu ya msingi.
 
VIJANA wana saka teuzi CCM
 
Sio kwa hali ilivyo sasa!

Watu wanaishi maisha magumu wewe unawatangazia ujenzi wa flyover japo zina manufaa lakini watakaokuelewa wachache. Miaka mitano bila kuongeza hata 100 kwenye mshahara? Watu wasio na vyeti unadhani wamesahau walivyofanyiwa unyama ausio?

Wafanyabiasharaa wamepewa makesi ya Uhujumu uchumi kila kukichaaa... Watu wamefunga Biasharaa kila konaa yani ukitembea mabarabarani siku hizi si ajabu kukuta frame 6 kati ya Kumi zilizokuwa zinafanya kazi zamani zimefungwaa. Mashirika na Bank mengi tu yanatambali ulimii.

THIS WONT BE A EASY BATTLE FOR CCM AT ALL..
 
Mkuu ndo maana watu wanasema Mzee akiruhusu uchaguzi wa Haki aminii Jamaa hatoboiii nasema Magu hatoboii kabisaaa!

Kitendo cha kamati kuu kuwakingia Kifua Wapinzani walioamia CCM kitawaumiza sana Ccm wao wenyewe washagawanyikaaa.
 
Mkuu ndo maana watu wanasema Mzee akiruhusu uchaguzi wa Haki aminii Jamaa hatoboiii nasema Magu hatoboii kabisaaa...!!

Kitendo cha kamati kuu kuwakingia Kifua Wapinzani walioamia CCM kitawaumiza sana Ccm wao wenyewe washagawanyikaaa..
Huu ni mwaka wa mavuno ..ccm inakwenda kumfia magufuri mikononi mwake ..2020 Ni mwaka wa mabadiriko
 
Kwa aina ya magonjwa ya karne hii ni kujisumbua kujenga vituo vya afya. Inahitajika kujengwe hospitali.
 
Acha kukariri mkuu kila Zama zna style yake tutathibitidha Mrema na lowasa baada ya uchaguzi siyo SS
 
Sijui kama unafikiri kwa kutumia kichwa! usiishi kwa mazoea Kaka mkubwa!!!
 
Kina kabudi ndo vijana? Au unamaanisha kina Zungu au ndalichako cjakuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…