Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 32,639 Reaction score 42,908 Apr 30, 2022 #21 denooJ said: Hawa jamaa tangu wajue ule uongo wao wa kuanza na tume huru haukubaliki, naona siku hizi wanajikanyaga tu, kila mmoja wao na lake. Click to expand... Bila tume huru unadhani utapata wabunge unaowataka ili wakaunde bunge la katiba? Au unataka hili bunge la Ccm likuundie katiba au unataka ile rasimu ya Bunge la Sitta ikapigiwe kura ?
denooJ said: Hawa jamaa tangu wajue ule uongo wao wa kuanza na tume huru haukubaliki, naona siku hizi wanajikanyaga tu, kila mmoja wao na lake. Click to expand... Bila tume huru unadhani utapata wabunge unaowataka ili wakaunde bunge la katiba? Au unataka hili bunge la Ccm likuundie katiba au unataka ile rasimu ya Bunge la Sitta ikapigiwe kura ?
I idrissi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2016 Posts 512 Reaction score 432 Apr 30, 2022 #22 Kiongozi wa chama nafasi isiyokua na uchaguzi.
nyabhingi JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 15,602 Reaction score 20,181 Apr 30, 2022 #23 ielewemitaa said: Bila uthibitisho ni uzushi Click to expand... Wewe upo bongo kweli? Kama hujui kuwa zitto na akina mkandala walikubaliana kuwa katiba hadi baada ya 2025 basi siwezi kukusaidia
ielewemitaa said: Bila uthibitisho ni uzushi Click to expand... Wewe upo bongo kweli? Kama hujui kuwa zitto na akina mkandala walikubaliana kuwa katiba hadi baada ya 2025 basi siwezi kukusaidia
G Gagnija Platinum Member Joined Apr 28, 2006 Posts 12,620 Reaction score 12,109 Apr 30, 2022 #24 ielewemitaa said: Nani asiye na matatizo? Click to expand... Mchaga.
ielewemitaa JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 10,764 Reaction score 9,477 May 1, 2022 #25 Gagnija said: Mchaga. Click to expand... Hawa si ndio wanaolewa mpaka Ulaya huko
ielewemitaa JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 10,764 Reaction score 9,477 May 1, 2022 #26 nyabhingi said: Wewe upo bongo kweli? Kama hujui kuwa zitto na akina mkandala walikubaliana kuwa katiba hadi baada ya 2025 basi siwezi kukusaidia Click to expand... Bila ushahidi hizi zinabaki kuwa porojo
nyabhingi said: Wewe upo bongo kweli? Kama hujui kuwa zitto na akina mkandala walikubaliana kuwa katiba hadi baada ya 2025 basi siwezi kukusaidia Click to expand... Bila ushahidi hizi zinabaki kuwa porojo
nyabhingi JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 15,602 Reaction score 20,181 May 1, 2022 #27 ielewemitaa said: Bila ushahidi hizi zinabaki kuwa porojo Click to expand... Nimekudharau
ielewemitaa JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 10,764 Reaction score 9,477 May 1, 2022 #28 nyabhingi said: Nimekudharau Click to expand... Sawa ila bila ushahidi wewe ni mpiga soga