Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Bila tume huru unadhani utapata wabunge unaowataka ili wakaunde bunge la katiba?Hawa jamaa tangu wajue ule uongo wao wa kuanza na tume huru haukubaliki, naona siku hizi wanajikanyaga tu, kila mmoja wao na lake.
Au unataka hili bunge la Ccm likuundie katiba au unataka ile rasimu ya Bunge la Sitta ikapigiwe kura ?