Huyu Muha wa Kigoma sijawahi kumuelewa kabisa. Tokea ajiteke dishi liliyumba. Hajui katiba mpya italeta tume huru?

Huyu Muha wa Kigoma sijawahi kumuelewa kabisa. Tokea ajiteke dishi liliyumba. Hajui katiba mpya italeta tume huru?

Hawa jamaa tangu wajue ule uongo wao wa kuanza na tume huru haukubaliki, naona siku hizi wanajikanyaga tu, kila mmoja wao na lake.
Bila tume huru unadhani utapata wabunge unaowataka ili wakaunde bunge la katiba?

Au unataka hili bunge la Ccm likuundie katiba au unataka ile rasimu ya Bunge la Sitta ikapigiwe kura ?
 
Back
Top Bottom