Pesa tunakulilia pesa tunakuhangaikia, wengine wanakusujudia na wengine wanakuabudu.
Huyu dogo badae utasikia anapewa Ukuu wa Wilaya au Mkuu wa Mkoa, au Kamanda wa Polisi kisha IGP, unajua hii nchi ina us****** mwingi sana sijui tutakomeshaje haya mambo.
Huyu Mwl nina uhakika hata Mungu hamsujudiii hivi kama alivyosujudu hapa
INATIA HASIRA SANA
Kwa sababu Mwenge umekuwepo tangu enzi za JKN, lakini huyu yeye kapenyezwa ile juzi kati hapa 2021.Halmashauri wanatetemekea mwenge kuliko hata ziara ya Rais
Aisee kweli nimecheka kijinga Sana , do uyu mwalim ,