Huyu mwalimu amemsujudu huyu kijana kuliko anavyomsujudu Mungu wake

Wewe unafanya kazi shirika gani?

Mna miradi ipi huko.

Anzisheni miradi halafu ujewenge kuzindua, Kama hujanya kabisa.

Mibongo Ni mavi kweli, ujasiri wa kishoga kabisa ikiwa nyuma ya kibodi.
Sawa umeshinda Afisa Utamaduni wa Halmashauri Wilaya Wang'ing'ombe
 
Mimi sijapenda lugha aliyotumia, kwa mambo mengine yuko sawa kwa kuwa ni jukumu lake
 
NimerudiaX3 hapo jamaa anaposema inama kuonyesha kakosa ila sometimes siyo kosa la huyo sijui injinia, haya mambo huwa yanaanzia mbali mpaka kufikia hapo.

Mimi huwa siamini tukio kama hilo, sababu nafahamu mnyororo wa hizo kazi na utolewaji wa pesa za serikali ambazo ni tofauti na mtu binafsi plus upigaji.
 
Sielewi chochote kwenye huu uzi, nasikia mara dogo mara mwalimu kwani kunani? Basi tuwekee tuvideo nasi tuchangie
 
Huyo kijana amekosa radhi... Msujudie yaishe maana it pleases his soul...

Malezi mabovu
 
another future bashite/sabaya in the making.

masisiemu huwa hayajifunzi wallah.
 
Saivi ndio nimecheki mpaka mwisho kweli amemsujudia kuliko anavyoweza kumsujudia Mungu wake
 
Zamani Kiongozi wa Mbio za Mwenge jina lake lilipata umaarufu sana wakati wa mbio na mara baada ya, siku hizi hata hatujishughulishi naye.
 
Huwa sipendi kuchangia mada zinazowashushia hadhi waanzilishi wa maarifa vichwani mwetu but kuna baadhi ya vitendo huwa wanafanya unaona kabisa hawa kweli kazi yao ina laana.

Ni kijana mdogo tena anaweza kumzaa lakini anashindwa kusimama nae kwa hoja anaishia kuonyesha jinsi gani alivyokuwa na njaa,ni njaa tu zinamsumbua mtu makini anayejua plan A B C ktk maisha ya utafutaji hawezi tetemeshwa na mfunga skafu shingoni kama huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…