Huyu Mwanachuo Kutoka Temeke Dar, Pale Makerere University ametutia aibu kwa Maswali ya kitoto aliyomuuliza Mh Tundu Lissu. Hajatuwalilisha vyema.

Hoja yake huenda ikawa nzuri ila ka orodhesha watu wa ajabu ajabu eti ni wanasiasa
Unless una shida zako binafsi.....Nape alikuwa Kijana Mzuri sema uccm tu ndio umemharibu
 


Ukiingia CCM akili ya hoja huwa inapotea kwa sababu ili kubalike CCM, ni lazima uwe tayari kitotumia akili. Utakapoanza utakuwa unaigiza, baadaye nawe unabadilika na kuwa mwanaCCM kamili, na kuwa mwanaCCM kamili ni kutohoji. Unatakiwa kuwa chawa. Akili yote unaipoteza unabakia kumsifia tu Rais hata kwa mambo yasiyo maana au ya uwongo.
 
Swali lilikuwa zuri lakini lilikuwa Completely Opposite na kile kilicho mezani.

Ukizingatia Ile Platform kulikuwa na Learners, learned and mentors wenye calibre mbali mbali Undergraduates, Graduates, Post Graduates, PhDs and Professors
 
Paul Makonda pamoja na mambo mengine atakumbukwa kuwa Kijana Shupavi kwenye siasa za CCM.

Labda kama wewe umemjua juzi tu
Nimemjua kuanzia ile issue ya kumsukuma na kumtoa nje Mzee Warioba !
Kisha ile Issue ikamfurahisha mteuzi akateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni !
Nadhani Ushupavu wake uliendelea kuonekana na Wateuzi waliofuatia πŸ‘πŸ™πŸ™Œ
 
Nimemjua kuanzia ile issue ya kumsukuma na kumtoa nje Mzee Warioba !
Kisha ile Issue ikamfurahisha mteuzi akateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni !
Nadhani Ushupavu wake uliendelea kuonekana na Wateuzi waliofuatia πŸ‘πŸ™πŸ™Œ
Hahahah Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…