Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #41
Sijui alifika fikaje pale. Ametuchafua sana sisi Wanazuoni Kutoka TanzaniaHuyu ni wale wale UVCCM😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui alifika fikaje pale. Ametuchafua sana sisi Wanazuoni Kutoka TanzaniaHuyu ni wale wale UVCCM😂
Unless una shida zako binafsi.....Nape alikuwa Kijana Mzuri sema uccm tu ndio umemharibuHoja yake huenda ikawa nzuri ila ka orodhesha watu wa ajabu ajabu eti ni wanasiasa
Paul Makonda pamoja na mambo mengine atakumbukwa kuwa Kijana Shupavi kwenye siasa za CCM.Eti na kizazi cha kuteka teka nacho kakipa promo !
Alitakiwa aishie kule kwa akina Shivji na wenzake Angalau !
Bora ange tuwekea Aziz kii kuuziwa barafu jangwani kwa ng'ombe 30 badala ya kuwapa pundaHoja yake huenda ikawa nzuri ila ka orodhesha watu wa ajabu ajabu eti ni wanasiasa
HahahahaBora ange tuwekea Aziz kii kuuziwa barafu jangwani kwa ng'ombe 30 badala ya kuwapa punda
Yule kijana aliboa sana kwani aliuliza swali nje ya mada iliyokuwa inajadliwa ya legacy ya mwalimu katika ujenzi wa demokrasia yeye yule ni kijana wa CCM na nia yake ilikuwa kuifedhehesha Chadema, vijana kama wale hawana mchango wa maana katika Taifa hili, ni kijana wa hovyo.
Swali lilikuwa zuri lakini lilikuwa Completely Opposite na kile kilicho mezani.Ukiingia CCM akili ya hoja huwa inapotea kwa sababu ili kubalike CCM, ni lazima uwe tayari kitotumia akili. Utakapoanza utakuwa unaigiza, baadaye nawe unabadilika na kuwa mwanaCCM kamili, na kuwa mwanaCCM kamili ni kutohoji. Unatakiwa kuwa chawa. Akili yote unaipoteza unabakia kumsifia tu Rais hata kwa mambo yasiyo maana au ya uwongo.
😅😅😅Kisiasa Lissu ni mdogo sana kwa Abdul Nondo wa ACT
Nimemjua kuanzia ile issue ya kumsukuma na kumtoa nje Mzee Warioba !Paul Makonda pamoja na mambo mengine atakumbukwa kuwa Kijana Shupavi kwenye siasa za CCM.
Labda kama wewe umemjua juzi tu
Hahahah SawaNimemjua kuanzia ile issue ya kumsukuma na kumtoa nje Mzee Warioba !
Kisha ile Issue ikamfurahisha mteuzi akateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni !
Nadhani Ushupavu wake uliendelea kuonekana na Wateuzi waliofuatia 👍🙏🙌
Tuko pamoja Mkuu 👍 !Hahahah Sawa
CCM wote wamelaaniwaNakazia mkuu. CCM hawana akili popote wanapokuqa hata wakibahatika kwenda mbinguni hamna kitu
Mkuu tumefika huko?CCM wote wamelaaniwa
Kabisa kama siyo laana unaibiaje wananchi wanyonge na masikini unajisikia fahari kuiba mabilioni huku kuna watanzania wanakosa hata laki moja ya matibabu asee?Mkuu tumefika huko?
Yaani Nilibaki kucheka tu😂😂😂😂