kayeke
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,601
- 1,750
Asante kwa upendeleo wako dada demi. Mungu akubariki sana.Usijali..nilistopisha kuonana na wanajf lakini nakupa nafasi ya upendeleo...utaniona!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa upendeleo wako dada demi. Mungu akubariki sana.Usijali..nilistopisha kuonana na wanajf lakini nakupa nafasi ya upendeleo...utaniona!
Wewe Tulia utuzidi sisi ustaarabu kivipiNiko kama huyu dada tatizo tu ni kwamba sina simile.
Ila upande wangu mzuri.
unazid kusogea tu upo ya 500 una gari lakin [emoji23] [emoji23]Nishagundua huwa mnanionea wivu
Kwa hio avatar.....lazima uwe dizaini hio!Mie sijambo kama nyie.
Nasema kutoka moyoni tena bila kushuritishwa na mtu, napenda sana tabia ya huyu dada member mwenzetu hapa JF. Huyu dada hana maringo, hana hasira hata mtu akimjibu utumbo. Hivi kwa nini na mie sina tabia njema kama za huyu dada (nina hasira sana). Mie mtu akinitibua ni jino kwa jino, jicho kwa jicho, mguu kwa mguu, mkono kwa mkono kinachofuatia ni nasomeka BANNED.
Wewe dada una busara sana. Mimi kama mwanamke mwenzio nasema hivi una tabia njema. Na kama una familia basi familia yako utakuwa unawalea katika maadili mazuri.
Huwa nikiona mtu "anamchokoza" huyu dada niko tayari kuingilia huo ugomvi (nina element za ugomvi sipendagi ujinga mimi).
Barikiwa sana Dada Sky Eclat pia nakutakia maandalizi mema ya mfungo (Kwaresma).
Kicheko ni afyaaaaaNimecheka kweeeeeeli!
hata najua ngoj leo nifanye usafi huenda nikamuonaMiss you more... Hivi alienda wapi
Weka na Dina hapoSky yupo vizuri.. sio character tu ni smart pia .. i love nd adore this woman ila ndo hivyo sikuzaliwa mapema
Kuna mtu anaitwa heaven sent ..ingawa hayupo active lakini ni mtu naemkubali pia
Lakini pia kuna watu wengi sana nnaowakubali yaani mtu ukikuta amekupa like yake ni sherehe.. sky, Fisadikuu ,The boss ,Kiranga sijui ndo alwatan maana wanafanana kila kitu kasoro majina.. emmymata ,Daby (Mu boy mwenzangu) etc maana wapo wengi
Poa poa! Barikiwa!Asante kwa upendeleo wako dada demi. Mungu akubariki sana.
Mi mpole hamnifikiiiunazid kusogea tu upo ya 500 una gari lakin [emoji23] [emoji23]
Kama yeye hajakuona mimi nimekuona [emoji23][emoji23][emoji23]We NAHUJA ina maana tabia zangu nzuri humu jf huzionagi?
Kweli kw wanaume wengi wananuka dushe ,kwapa ,mdomo , soksi na miguu utaacha kumringia?Sasa Kama mtu unatoa harufu Kama dampo niache kukuringia?
[emoji28][emoji3][emoji16][emoji23] nawazidi sanaWewe Tulia utuzidi sisi ustaarabu kivipi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uyo mdada ni mtu wa watu ndyo maana hutokuta anatukanwa hata na kale ka mange kimambi ka umu kanakoitwa the list
nauliza una gari [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi mpole hamnifikiii
Mie nimeingia enzi ikiwa Jamboforums. aliyenishawishi kuingia ni bwana mmoja alikuwa mtangazaji wa ITV, akaja akawa DC na siku hizi yuko Star TV anaitwa Novatus MakungaAmiin dada. Yaani niseme ukweli leo nikiona id yako ilivyo ya muda mrefu huwa natamani na mie yangu ije kuzeeka hivyo hivyo.
Wewe ni mmoja wanaonifanya niitunze id yangu aisee. Yaani sitaki itokee siku niikimbie.
Hmmmm..... A match?
Bora, santeeeeeKama yeye hajakuona mimi nimekuona [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukinizidi nakunya hapaKweli kw wanaume wengi wananuka dushe ,kwapa ,mdomo , soksi na miguu utaacha kumringia?
[emoji28][emoji3][emoji16][emoji23] nawazidi sana
Mmh uzi hapana! Danga langu litakasirika!Kiukweli hata mimi namshangaa kukuacha wewe...... Em nipe ruksa nikuanzishie uzi