Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini kwaniEheee
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Dah!..haya bwana
Ahsante mkuu, kwema huko kwetu Ileje?Dunia kama kijiji kila mtu anafanya na kuchagua apendacho hongera kwa alie sifiwa
Anastaili
Hongera kwa alie anzisha huu uzi na kwa kutambua mchango wa member mwezako
Huko mbalii aache pombeKabla hajaanza kukufundisha anza wewe kuchukua hatua.... kata mguu kule jukwaa la wakubwa
Kutakuwa kwema maana nimehamia nchi jiraniAhsante mkuu, kwema huko kwetu Ileje?
Mkuu Numbisa mbona kitambo nimesha kusifia kwenye jukwa pendwa la michezo!
Mimi mwenyewe kigirl tenKama unataka kiben10 lakini [emoji38][emoji38][emoji38]
Kumbe na pombe anabwia? Mi nlifikiri ni bangi peke yake anatumiaHuko mbalii aache pombe
NiniMatusi sasa
KidogoHupendi kusifiwa?
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Huyo hata kwenye 10 bora hayuko
Kausha mremboNini
Natambua huwezi kutuangusha, naona umeanza kwa kutoa maelekezo kwa kutaka atinge jukwaa la chini. SafiiMbishi sana huyo mrembo. Atakuja kututia aibu ukweni... shauri zake
Sijakufikiaaa mimi namba 5Tena unaanza wewe Dina. Mi namba 10 hukooo
Weweee achaaEyce unaibiwaaaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Naanzisha uzi sasa hivi nikusifie jukwaa la chiniiiKidogo
Vyote babuKumbe na pombe anabwia? Mi nlifikiri ni bangi peke yake anatumia