Muuza madafu wa Ikulu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2024
- 1,277
- 2,888
Mi sio sushushu au TISS, mi ni muuza madafu tu.Mimi kila mtu posta na maeneo ya ikulu huwa namuona ni TISS au Shushushu. Na kwa uzi huu inaonyesha karibu nchi nzimq watu wote ni wapelelezi. Hivyo muuza madafu yuko sahihi kuuza madafu