Muuza madafu wa Ikulu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2024
- 1,277
- 2,888
Mi sio sushushu au TISS, mi ni muuza madafu tu.Mimi kila mtu posta na maeneo ya ikulu huwa namuona ni TISS au Shushushu. Na kwa uzi huu inaonyesha karibu nchi nzimq watu wote ni wapelelezi. Hivyo muuza madafu yuko sahihi kuuza madafu
πAcheni uzishi. Yule sio mimi.
Kila mwananchi ni usalama wa Taifa.Mi sio sushushu au TISS, mi ni muuza madafu tu.
Sababu wote mna uhusiano na ikulu njooni wote pamoja kwenye TV tuhakikisheNashangaa wanalazimisha na kunizushia kuwa yule ni mimi.
We jamaa wa kitambo, zamani nilikuwa najua ni Account ya hayati Magu.Kaole
Ni kweli, lakini sio baadae inaonekana maigizo!Jmn usalama wenu unatokana na jitihada za viongozi wetu kuwa na njia nyingi za kujihami - kuongoza nchi siyo jambo jepesi
Shangazi miss uTena hawa akina maxence ndio majasusi waliokubuhu.
Yesuuu, meseji zetu za pm za kuombana uroda mbona tunaumbuka πππππππ
Cc Depal Extrovert Poor Brain Maghayo adriz
I miss you too babyShangazi miss u
Whaooooooo.... ππππI miss you too baby
i lavyuu πWhaooooooo.... ππππ
Wwweeh weeeeh weeeeh Nikisoma haya unayoandika najikuta nabubujikwa na machozi ya furaha utafikiri cocastic kanishika usoni akiwa na pilipili mikononi mwake.i lavyuu π
πππππππ kule chini kwa babu haujabubujikwa na ute ute?Wwweeh weeeeh weeeeh Nikisoma haya unayoandika najikuta nabubujikwa na machozi ya furaha utafikiri cocastic kanishika usoni akiwa na pilipili mikononi mwake.
ππππππππ
ππππππππ Tuishie hapaπππππππ kule chini kwa babu haujabubujikwa na ute ute?