Neuro
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 1,551
- 1,721
๐๐๐ dada mkubwa unazingua, kazi ndio zimezidi๐๐๐๐. Nifungiwe mimi nguo๐๐Asante mdogowangu
Huonekani sikuhiz umefungiwa?๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐ dada mkubwa unazingua, kazi ndio zimezidi๐๐๐๐. Nifungiwe mimi nguo๐๐Asante mdogowangu
Huonekani sikuhiz umefungiwa?๐๐๐
Kuna watu Wana Raha sana kwenye haya maisha!Wanawake jifunzeni basi, hata kama mme wako nakushirikisha mara chache kwenye deals zangu za biashara usijiweke uhusika ambao sijakupa. Kuna mwanamke nimezaa nae na anakaa kwenye nyumba yangu huko mkoani, mimi nipo zangu hapa Town nimeajiriwa ofisi fulani na nimepanga ila mara kwa mara huwa natuma watu wakachukue au wapeleke hela zinazotokana na business pale nyumbani.
Shida ilianza huyu mwanamke akataka kufungua saloon nikasema 'no' sababu najua madada wa saloon wanalika sana. Baadae kelele zikawa nyingi nikaamua kumfungulia ila kwa masharti kwamba asije akachanganya pesa kutoka kwenye biashara zangu nyingine akaweka huko saloon bila kuniambia.
Sasa hesabu za mwezi wa tatu hazikuwa sawa kwenye kibanda changu kimoja cha MPesa, dogo wa pale akawa haeleweki. Ikatokea nafasi nikarudi mkoani wiki kama mbili zimepita, kumbana yule dogo ndo akasema "Shemeji alichukua hela akasema nisikwambie atarudisha ndani ya wiki moja" lakini muda umepita hadi mie nilipokuwa narudi alikuwa hajarudisha hio hela,
Shida kubwa sio kuchukua hela, shida kubwa ni kutoniweka wazi na kuvunja makubaliano yetu kwamba asichanganye hela zangu na biashara zake.
Argument na huyu mwanamke ikawa kubwa ndipo nikamwambia "Mimi nataka mke wala sio business partner", Naona kanikasirikia, nikasema unakasirika eenh, nikafunga saloon yake hapa nilipo nishamkabidhi dalali auze kila kitu ili huyu mwanamke atulie nyumbani.
Jana ndo nimeanza safari ya kurudi Dar ila bado kanichunia, nimemwambia akiendelea hivyo atashangaa narudi na mzaramo mmoja aje ampe tuition kidogo.
Kumbe ndo maana, hauwezi kwepa polygam aiseeNgoja jioni nitajibu comment zenu wote. Ila kiufupi mie nimekulia kwenye family mzee alikua na wake watano na wote aliwamanage vizuri sana hadi leo wanaheshimiana, na watoto tuko 13. Nitawajibu vizuri jion
Kupunguza mzigo gani acha usanii wewe. Yeye atulie abane matumizi. Mbona mahousegirl wanafanya kazi zote na hawana gharama hizo ambazo wanakuwa nazo wanawake.yani watu hampendi maendeleo, mtu anakusaidia kufanya biashara akupunguzie mzigo wa majukumu hamtaki na tukikaa tu nyumbani mnasema tumekua ombaomba, sijui mnataka nini[emoji849][emoji849][emoji849][emoji851][emoji1373]
Mmmmmmhmn hapa umeongea nondo za maana sana umkhulu wane.Safi....
kuna wanawake wao wamejaaliwa kuwa wamama wa nyumbani tu kulea watoto, ila story za mashoga ndo wanapambishana eti wawe watafutaji, utafutaji wenyewe sasa utacheka ufe, kila kitu atahitaji kutoka kwako, mtaji umpe wewe, akipata loss atakupiga mzinga wewe ili akafidie loss aloisababisha yeye kwenye biashara yake mwenyewe.
Ukiwa mjanja ukamkwepa mizinga hakawii kwenda kukopa au vicoba, akikosa cha kurejesha hakubali kudhalilika hapo lazima uchapiwe ndugu ataitembeza hiyo mbunye mwenyewe mpaka apate marejesho, mwisho wa siku anakuwa concord akiona hiyo teknik inalipa.
Acha niendelee kuwa ndugu mtazamaji na upole wangu huu watanionea sana, japo hawajuagi upole ni kilo 1 ila hasira tani 1000 kwa hiyo staki kesi.
sawa ๐๐ผKupunguza mzigo gani acha usanii wewe. Yeye atulie abane matumizi. Mbona mahousegirl wanafanya kazi zote na hawana gharama hizo ambazo wanakuwa nazo wanawake.
Hii kitu hata sijui kwann huwa mnaikuza sana. Si kweli kuwa wanaume wanataka wanawake wakae ndani muda wote kama ng'ombe wa maziwa. Lakini at the same time wanaume hawapendi kuwa na mwanamke ambaye anatangatanga hadi anakuwa unavailable kwenye mahusiano, Ndoa na malezi ya familia.Sasa kumbe mnajua kuwa biashara siyo ya kila mtu sasa mbona wakikaa nyumbani mnasema hawana akili na mnawaita magolikipa na ombaomba
Nafahamu wapo wanaume wa aina zote hizo, ila binafsi wanaonishangaza ni wale wanaume ambao wanataka wanawake wakatafute, halafu wakirudi nyumbani bado wafanye majukumu ya nyumbaniHii kitu hata sijui kwann huwa mnaikuza sana. Si kweli kuwa wanaume wanataka wanawake wakae ndani muda wote kama ng'ombe wa maziwa. Lakini at the same time wanaume hawapendi kuwa na mwanamke ambaye anatangatanga hadi anakuwa unavailable kwenye mahusiano, Ndoa na malezi ya familia.
Sasa ni swala la kukaa na mwanaume wako na kukubaliana nae mtaishi vipi. Wengine wanapenda mkewe asipate taabu arelax, yeye atatoa mahitaji yote na atamshirikisha katika utafutaji kidogo, mwingine atataka mkewe atoke nje watafute wote ila kabla ya muda wa jioni kufika wawe wamesharejea nyumbani wamepumzika wanahudumia familia, mwingine hajali anataka mkewe awe nje kutafuta kama punda. Hata asiporejea hajali mradi ajue anahangaika huko nje.
So its better ujifunze kuzungumza na mwanaume uliyenae ili mjue mnaishi kwa makubaliano yapi usiassume wanaume wanafanana.
Mie naona jamaaa aliwekeza pesa mingi kwa mtu ambae hana experience na biashara, angeanza na biashara ndogo ndogo akiweza. Kumanage basi ana upgrade, sasa mtu hajawahi hata kuuza grocery ndogo tu uje umfungulie saloon ya karibia 10M atawezea wapi hio management.Kufeli kwa biashara aliyo anzisha sio kwamba hajui biashara tatizo unamkatia tamaa mapema mwanzishie biashara nyingine hapo home auze nyanya vitunguu mbogamboga kwa kuanzia huenda akajifunza na ikaenda sawa
Mdogowangu mambo yanabadilika watu wanafungiwa๐๐๐๐ dada mkubwa unazingua, kazi ndio zimezidi๐๐๐๐. Nifungiwe mimi nguo๐๐
Hawana adabu,
Mie nishajua ndo kilichomleta pale na kumtuliza ni anataka sana maslahi, nilipima watoto DNA sababu kuna mida nikawa nahofia hata watoto sio wangu sababu she's so calculative.
Baada ya kuona nmejua mchezo naona anatafuta gia tu nimtimue
๐คฃ๐คฃ๐คฃIla we jamaa,ulimpendea nn kama humwamini?au ana trakooo๐คฃzamani sana, nishajua hapa sina wife material tena. Ndo umuhimu wa michepuko, kuna sub tatu zipo benchi
" Nitarudi na mzaramo mmoja ampe tuition"๐ hapa nimecheka Kama mazuri aisee!
NAKAZIAWanawake jifunzeni basi, hata kama mme wako nakushirikisha mara chache kwenye deals zangu za biashara usijiweke uhusika ambao sijakupa. Kuna mwanamke nimezaa nae na anakaa kwenye nyumba yangu huko mkoani, mimi nipo zangu hapa Town nimeajiriwa ofisi fulani na nimepanga ila mara kwa mara huwa natuma watu wakachukue au wapeleke hela zinazotokana na business pale nyumbani.
Shida ilianza huyu mwanamke akataka kufungua saloon nikasema 'no' sababu najua madada wa saloon wanalika sana. Baadae kelele zikawa nyingi nikaamua kumfungulia ila kwa masharti kwamba asije akachanganya pesa kutoka kwenye biashara zangu nyingine akaweka huko saloon bila kuniambia.
Sasa hesabu za mwezi wa tatu hazikuwa sawa kwenye kibanda changu kimoja cha MPesa, dogo wa pale akawa haeleweki. Ikatokea nafasi nikarudi mkoani wiki kama mbili zimepita, kumbana yule dogo ndo akasema "Shemeji alichukua hela akasema nisikwambie atarudisha ndani ya wiki moja" lakini muda umepita hadi mie nilipokuwa narudi alikuwa hajarudisha hio hela,
Shida kubwa sio kuchukua hela, shida kubwa ni kutoniweka wazi na kuvunja makubaliano yetu kwamba asichanganye hela zangu na biashara zake.
Argument na huyu mwanamke ikawa kubwa ndipo nikamwambia "Mimi nataka mke wala sio business partner", Naona kanikasirikia, nikasema unakasirika eenh, nikafunga saloon yake hapa nilipo nishamkabidhi dalali auze kila kitu ili huyu mwanamke atulie nyumbani.
Jana ndo nimeanza safari ya kurudi Dar ila bado kanichunia, nimemwambia akiendelea hivyo atashangaa narudi na mzaramo mmoja aje ampe tuition kidogo.
This comment is wild,nimecheka sana. Nakubali mkuu ulivotema nyongo.Safi....
kuna wanawake wao wamejaaliwa kuwa wamama wa nyumbani tu kulea watoto, ila story za mashoga ndo wanapambishana eti wawe watafutaji, utafutaji wenyewe sasa utacheka ufe, kila kitu atahitaji kutoka kwako, mtaji umpe wewe, akipata loss atakupiga mzinga wewe ili akafidie loss aloisababisha yeye kwenye biashara yake mwenyewe.
Ukiwa mjanja ukamkwepa mizinga hakawii kwenda kukopa au vicoba, akikosa cha kurejesha hakubali kudhalilika hapo lazima uchapiwe ndugu ataitembeza hiyo mbunye mwenyewe mpaka apate marejesho, mwisho wa siku anakuwa concord akiona hiyo teknik inalipa.
Acha niendelee kuwa ndugu mtazamaji na upole wangu huu watanionea sana, japo hawajuagi upole ni kilo 1 ila hasira tani 1000 kwa hiyo staki kesi.
๐๐๐basi mimi sio mmoja wa hao watu๐๐. Umenifananisha!Mdogowangu mambo yanabadilika watu wanafungiwa๐