Huyu mwanamke alikuwa anaonyesha u-wife material ila baada ya kumwambia sitafuti business partner nataka mke basi kaanza kutafuta njia ya kuondoka

Asante mdogowangu
Huonekani sikuhiz umefungiwa?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ dada mkubwa unazingua, kazi ndio zimezidiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Nifungiwe mimi nguoπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna watu Wana Raha sana kwenye haya maisha!
Wakati wenzao wanapigiwa makelele wafanye kazi wao wanaambiwa wake ,hawataki!
Duh
 
Ngoja jioni nitajibu comment zenu wote. Ila kiufupi mie nimekulia kwenye family mzee alikua na wake watano na wote aliwamanage vizuri sana hadi leo wanaheshimiana, na watoto tuko 13. Nitawajibu vizuri jion
Kumbe ndo maana, hauwezi kwepa polygam aisee
 
yani watu hampendi maendeleo, mtu anakusaidia kufanya biashara akupunguzie mzigo wa majukumu hamtaki na tukikaa tu nyumbani mnasema tumekua ombaomba, sijui mnataka nini[emoji849][emoji849][emoji849][emoji851][emoji1373]
Kupunguza mzigo gani acha usanii wewe. Yeye atulie abane matumizi. Mbona mahousegirl wanafanya kazi zote na hawana gharama hizo ambazo wanakuwa nazo wanawake.
 
Mmmmmmhmn hapa umeongea nondo za maana sana umkhulu wane.
 
Kupunguza mzigo gani acha usanii wewe. Yeye atulie abane matumizi. Mbona mahousegirl wanafanya kazi zote na hawana gharama hizo ambazo wanakuwa nazo wanawake.
sawa πŸ™ŒπŸΌ
 
Sasa kumbe mnajua kuwa biashara siyo ya kila mtu sasa mbona wakikaa nyumbani mnasema hawana akili na mnawaita magolikipa na ombaomba
Hii kitu hata sijui kwann huwa mnaikuza sana. Si kweli kuwa wanaume wanataka wanawake wakae ndani muda wote kama ng'ombe wa maziwa. Lakini at the same time wanaume hawapendi kuwa na mwanamke ambaye anatangatanga hadi anakuwa unavailable kwenye mahusiano, Ndoa na malezi ya familia.

Sasa ni swala la kukaa na mwanaume wako na kukubaliana nae mtaishi vipi. Wengine wanapenda mkewe asipate taabu arelax, yeye atatoa mahitaji yote na atamshirikisha katika utafutaji kidogo, mwingine atataka mkewe atoke nje watafute wote ila kabla ya muda wa jioni kufika wawe wamesharejea nyumbani wamepumzika wanahudumia familia, mwingine hajali anataka mkewe awe nje kutafuta kama punda. Hata asiporejea hajali mradi ajue anahangaika huko nje.

So its better ujifunze kuzungumza na mwanaume uliyenae ili mjue mnaishi kwa makubaliano yapi usiassume wanaume wanafanana.
 
Nafahamu wapo wanaume wa aina zote hizo, ila binafsi wanaonishangaza ni wale wanaume ambao wanataka wanawake wakatafute, halafu wakirudi nyumbani bado wafanye majukumu ya nyumbani

Bila kuwasaidia au kuwatafutia wasaidizi na kitandani pia watoe ushirikiano, hapo ndipo wanawake wengi wanaposhindwa, na kuonekana siyo wife material

Sababu hapo automatically mwanamke atakuwa anafanya majukumu mengi kuliko mwanaume wakati yeye ni msaidizi tu
 
Kufeli kwa biashara aliyo anzisha sio kwamba hajui biashara tatizo unamkatia tamaa mapema mwanzishie biashara nyingine hapo home auze nyanya vitunguu mbogamboga kwa kuanzia huenda akajifunza na ikaenda sawa
Mie naona jamaaa aliwekeza pesa mingi kwa mtu ambae hana experience na biashara, angeanza na biashara ndogo ndogo akiweza. Kumanage basi ana upgrade, sasa mtu hajawahi hata kuuza grocery ndogo tu uje umfungulie saloon ya karibia 10M atawezea wapi hio management.

Na ubaya hawa wadada wakishakuwa wake za watu wenye pesa mingi wanajikuta kufanya issue za grocery ni kama kujishusha hadhi lakini kumbe ndio uwezo wao unapowataka kuwa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ dada mkubwa unazingua, kazi ndio zimezidiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Nifungiwe mimi nguoπŸ˜‚πŸ˜‚
Mdogowangu mambo yanabadilika watu wanafungiwaπŸ˜‚
 
Kabila gani huyo? sorry kuuliza
 
" Nitarudi na mzaramo mmoja ampe tuition"πŸ˜‚ hapa nimecheka Kama mazuri aisee!
 
zamani sana, nishajua hapa sina wife material tena. Ndo umuhimu wa michepuko, kuna sub tatu zipo benchi
🀣🀣🀣Ila we jamaa,ulimpendea nn kama humwamini?au ana trakooo🀣
 
Tatizo wanawake hawajui kuweka mipaka Kati ya pesa na mapenzi, mwanamke akishaanza kushika pesa anaamua kumuonyesha dharau aliyemuwezesha kuzipata hizo pesa.

Ndio maana wanaume huwa wanaamua kuwaachisha kazi wake zao wabaki nyumbani waendelee na majukumu mengine.
 
NAKAZIA

mke akiwa mkorofi mwenye kununa namna hiyo, dawa ni kumpandisha cheo awe bi mkubwa.

Safi kabisa
 
This comment is wild,nimecheka sana. Nakubali mkuu ulivotema nyongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…